Kaolewa, kapasha kiporo kwa Baba mtoto, kaachwa!

Kaolewa, kapasha kiporo kwa Baba mtoto, kaachwa!

Ktk hiyo post kwenye comment kuna huyu jamaa nahisi ametoa jibu moja matata sana,mimi naongeza pia akuonyeshe cheti cha usajili vifo anaweza akabuni kaburi lolote akakupoteza
Screenshot_2024-04-10-00-47-45-868_com.facebook.katana-edit.jpg
 
Harusi ilifanyika 27/12/2023 nilihudhuria pia tukanywa tukafurah leo napewa taarifa wameachana baada ya mwamba kugundua demu anapasha kipolo na mzaz mwenzake(mwanaume aliyezaa nae), demu kaomba msamaha vikao vimekalika lakini our own legend kasema no it's over!,ndoa za sikuhizi💔🙌
Kataa ndoa na stori za Kutunga kuhalisha Kampeni yao
 
Huyo kafanya vema na iwe fundisho kwa wanawake wengine wanaoolewa mara ya pili wakati waume zao wa mwanzo wapo hai. Lakini huyo jamaa naye ni fala tu, ataoaje mwanamke aliyezaa wakati anajua mume wake waliyezaa nae yupo hai? Hatata kama wameachana wale huunganishwa na mtoto/watoto waliyozaa pamoja. Ni likely kukutana kwa siri au wazi kama wazazi kwa ajili ya watoto/mtoto wao na wanaweza wakapasha kiporo kama afya zao ni salama. Mwanaume kuoa mwanamke mwenye watoto/mtoto huku baba watoto/mtoto yupo hai huko ni kujitoa ufahamu na kupotezea maumivu yatakayojitokeza
 
Hapo kwenye Afya salama- who cares?
 
wapo wadada walipata mimba kwa siku moja. wakatelekezwa. wapo wadada wametoa mimba mpaka kizazi kikasema poo!

mke aliyezaa ana akili kuliko aliyetoa mimba!

Yesu ni Bwana na Mwokozi

Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app
Ogopa sana mwanamke anayemuua mtoto wake mwenyewe kwenye tumbo lake kisa kutafuta sifa kwenye jamii kuwa bado hajazaa,imagine kiumbe asiye na hatia anauwawa kisa tu apate sifa hivi atashindwa kumuua mtu mwingine kwa maslah yake?
 
Hahahah dah, Kuna mwingine huku kapata mchumba yupo mwanza mwanamke wa kigoma, ndoa inafungwa mwezi wa 5 lakini demu anakomaa kugawa uroda Kwa ex zake kwa nguvu zoote kabla ya kuingia ndoani, jamaa yeye Yuko mwanza anaamini demu anajipnga kwa ajili ya sendoff.
Dah!....inasikitisha sana, huyo mwanamke ni muuaji
 
Wanawake ni wakukaa nao kwa taadhari sana, we waone hivi hivi tuu. Wakiamua kufanya upuuzi wanafanya kwel
 
Back
Top Bottom