Daah jamani wanawake hawaHahahah dah, Kuna mwingine huku kapata mchumba yupo mwanza mwanamke wa kigoma, ndoa inafungwa mwezi wa 5 lakini demu anakomaa kugawa uroda Kwa ex zake kwa nguvu zoote kabla ya kuingia ndoani, jamaa yeye Yuko mwanza anaamini demu anajipnga kwa ajili ya sendoff.
🤔Hii nchi 98% ya vijana wamechanganyikiwa
Mwanamke MPUMBAVU huvunja nyumba (ndoa) yake kwa mikono yake mwenyeweView attachment 2958906
Harusi ilifanyika 27/12/2023 nilihudhuria pia tukanywa tukafurah leo napewa taarifa wameachana baada ya mwamba kugundua demu anapasha kipolo na mzaz mwenzake(mwanaume aliyezaa nae),dem kaomba msamaha vikao vimekalika lakini our own legend kasema no it's over!,ndoa za sikuhizi💔🙌
MkuuHahahah dah, Kuna mwingine huku kapata mchumba yupo mwanza mwanamke wa kigoma, ndoa inafungwa mwezi wa 5 lakini demu anakomaa kugawa uroda Kwa ex zake kwa nguvu zoote kabla ya kuingia ndoani, jamaa yeye Yuko mwanza anaamini demu anajipnga kwa ajili ya sendoff.
wapo wadada walipata mimba kwa siku moja. wakatelekezwa. wapo wadada wametoa mimba mpaka kizazi kikasema poo!Ila ukweli usemwe hivi unaoje mtu kaachwa !? Mimi tangy nishike pesa hata vitu vya mtumba sinunui ,ndio kuoa mke mweny mtoto .
Legend amechukua maamuzi sahihi, although alipoteana kuingia kwneye hiyo ndoa at the first placeView attachment 2958906
Harusi ilifanyika 27/12/2023 nilihudhuria pia tukanywa tukafurah leo napewa taarifa wameachana baada ya mwamba kugundua demu anapasha kipolo na mzaz mwenzake(mwanaume aliyezaa nae),dem kaomba msamaha vikao vimekalika lakini our own legend kasema no it's over!,ndoa za sikuhizi💔🙌
😂 ila wanawake wa hivyo ni jasiri sana. Nilishaitiwa bye bye wifi mtu akaharibu mchongo.Hahahah dah, Kuna mwingine huku kapata mchumba yupo mwanza mwanamke wa kigoma, ndoa inafungwa mwezi wa 5 lakini demu anakomaa kugawa uroda Kwa ex zake kwa nguvu zoote kabla ya kuingia ndoani, jamaa yeye Yuko mwanza anaamini demu anajipnga kwa ajili ya sendoff.
Hao wanachukua kwa siri jambo lipo wazi kabisa..wapo wadada walipata mimba kwa siku moja. wakatelekezwa. wapo wadada wametoa mimba mpaka kizazi kikasema poo!
mke aliyezaa ana akili kuliko aliyetoa mimba!
Yesu ni Bwana na Mwokozi
Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app
Cheki utoto huuwapo wadada walipata mimba kwa siku moja. wakatelekezwa. wapo wadada wametoa mimba mpaka kizazi kikasema poo!
mke aliyezaa ana akili kuliko aliyetoa mimba!
Yesu ni Bwana na Mwokozi
Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app