Kaolewa, kapasha kiporo kwa Baba mtoto, kaachwa!

Ktk hiyo post kwenye comment kuna huyu jamaa nahisi ametoa jibu moja matata sana,mimi naongeza pia akuonyeshe cheti cha usajili vifo anaweza akabuni kaburi lolote akakupoteza
 
Mwamba anakumbuka maamuzi yetu kwenye kikao.

Ukigundua mkeo kachepuka, hakuna kumpiga wala kumsumbua ni STRAIGHT RED CARD.

Labda kama una moyo wa kufanya yale maamuzi magumu ya kukimbiza mwizi Kimya Kimya mpaka anajiita mwenyewe "mie mwizi, mie mwizi," πŸ˜‚
 
Kataa ndoa na stori za Kutunga kuhalisha Kampeni yao
 
Huyo kafanya vema na iwe fundisho kwa wanawake wengine wanaoolewa mara ya pili wakati waume zao wa mwanzo wapo hai. Lakini huyo jamaa naye ni fala tu, ataoaje mwanamke aliyezaa wakati anajua mume wake waliyezaa nae yupo hai? Hatata kama wameachana wale huunganishwa na mtoto/watoto waliyozaa pamoja. Ni likely kukutana kwa siri au wazi kama wazazi kwa ajili ya watoto/mtoto wao na wanaweza wakapasha kiporo kama afya zao ni salama. Mwanaume kuoa mwanamke mwenye watoto/mtoto huku baba watoto/mtoto yupo hai huko ni kujitoa ufahamu na kupotezea maumivu yatakayojitokeza
 
Hapo kwenye Afya salama- who cares?
 
wapo wadada walipata mimba kwa siku moja. wakatelekezwa. wapo wadada wametoa mimba mpaka kizazi kikasema poo!

mke aliyezaa ana akili kuliko aliyetoa mimba!


Yesu ni Bwana na Mwokozi

Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app
Ogopa sana mwanamke anayemuua mtoto wake mwenyewe kwenye tumbo lake kisa kutafuta sifa kwenye jamii kuwa bado hajazaa,imagine kiumbe asiye na hatia anauwawa kisa tu apate sifa hivi atashindwa kumuua mtu mwingine kwa maslah yake?
 
Dah!....inasikitisha sana, huyo mwanamke ni muuaji
 
Hawa wanawake waone tu walivyo! Mmoja alitembea na ex wake usiku na kesho yake akafunga harusi. Jamaa nae alihudhuria na kumpongeza bwana harusi.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Wanawake ni wakukaa nao kwa taadhari sana, we waone hivi hivi tuu. Wakiamua kufanya upuuzi wanafanya kwel
 
Hivi wasichana hawapatikana mpaka kung'ang'ana kuoa mke wa mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…