Kaponea chupu chupu kugongwa na Koboko mkali

Nilichogundua kuhusu hawa Viumbe ni kwamba mchana wa jua kali ndio wanakuwa wakali sana ni vigumu kusikia kuwa Koboko kamgonga Mtu usiku.
Usiku koboko hapendi kutembea kwaajili ya usalama wake, anaogopa kuliwa na bundi.
Mchana wa jua Kali anakua full charged kwasababu jamii ya nyoka ni damu baridi.
 

Anabahati sana aisee!!!...
Yule mzungu wa baiskeli ya kuchegama naye alikutana na nyoka ukanda huo sijui raia wa huko wanaishije na hao wadudu
 
black mamba?

ila naskia puff adder ndo balaa, anastrike haraka mno, yupo tanzania?
Puff adder ni wengi sana hapa Tz (ni nyoka mpole na hana mwendo wa haraka au kukimbia) na kule nyanda za juu kusini hujulikana zaidi kama Moma. Sumu yake ni myotoxic - huozesha misuli ila nyama yake ni tamu sana kuliko samaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…