Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

WEWE NI MBUMBUMBU MKUBWA TU. HAYO MAJAMAA YALIENDELEA KABLA YA KULETEWA UJINGA WA DEMOKRASIA. UNAIJUWA EUROPEAN SUPER POWER BY THEN, GERMANY ILIVYOPATA HIYO KITU KUPITIA KWA Adolf Hitler?
 
monarchy .........does not exercise executive or policy-making power.
 
Yupo sahihi
 
Soma hata viongozi wa kweny kitabu(biblia) hakuna demokrasia mfano mfalme daudi,suleiman,yusuf,nebukadreza,ahabu kweny wafalme,ahasuero kitabu cha esta, n.k.

Umejifunza nini.
 
Hapo kwenye njaa ndiyo umemaliza na uzi umeishia hapa. HAKUNA DEMOKRASIA KWENYE NJAA.
 
Sitaki kuamini traore haijui Dunia kiasi hicho.....

Huyu anataka kuulinda umri wake madarakani na hatoboi, anataka kutawala miaka 40 buknabe kwasasa anaumri wa miaka 36 +40 #70yrs
Tatizo liko wapi hapo.Hatukuumbwa sote tushike nafasi ya uraisi.
Siku akifanya makosa na watu wakamchoka basi ataondolewa.
Uchaguzi wa kila mwaka .Mara wa madiwani mara,wa wabunge ndizo sababu za kugombanisha watu na kutumia pesa bila umuhimu wowote.
 
Historia ya hizo nchi unazitaja kama "WESTERN WORLD" unaifahamu vizuri?

Unafahamu zimetokea wapi hadi kufikia hapo zilipo?

Fikiria mara mbili... inawezekana Africans were the most democratic than what we are perceived to be.

Remember we are not "STUPID"...
 
Ila prime minister wa Uingereza ndo mwenye hayo majukumu chakushangaza prime minister mwenyewe hateuliwi na wananchi.
anateuliwa na wanachi through vyama vyao



UK Parliament

Prime Minister

The Prime Minister is the leader of the Government. He or she is the leader of the party that wins the most seats at a general election. After a general election the monarch calls upon the leader of the largest party to form the Government. The Prime Minister chooses the other Members of the Government and has a residence and offices at 10 Downing Street
 
Inaweza kuendelea vizuri tu, lakini kama jamii inajitambua. Seems jamii nyingi za mtu mweusi bado hazijajitambua. Kuna stage lazima ivukwe mpaka kuwa jamii iliyoendelea kama wenzetu
Sahihi demokrasia inahitaji uwe na watu wengi wenye elimu, taarifa sahihi na uelewa mpana wa mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…