Bila kusoma ukajifunza mengi ni ngumu kupambana na changamoto fikirishishule ipo kwenye kusoma vitabu na kupata mafundisho mbalimbali yale mambo ya kupewa cheti yasikuumize sana kichwa. tunafaham usomi wa mtu kwa namna anavyochangia hoja na kupembua. namna anavyotoa masuluhisho kwenye changamoto... mimi nlishaaacha kuulizia ulizia vyetu n.k kuna watu wasomi wa vyeti lakini hawana mchango wowote kwenye jamii.
Kiukweli sifahamu. Nilijaribu kumuuliza akaniambia yeye mwenyewe hajui ni nini kilichompata lakini taarifa aliyoipata katika mtandao wao wa IKS ni kwamba, jamaa amepoteza kumbukumbu na uwezo wa kuongea.ni nini kilitokea kwa nguli huyu wa fasihi? ni jambo la kusikitisha sana.
Hii ni kweli kabisa. mi mwenyewe sikuhizi nimekuwa siamini mtu kuwa kaelimika kwa kuwa ana Degree au ni profesa mpaka nione jinsi anavyojenga hoja na uelewa wake. wasomi wetu wengi wana upeo mdogo sana sababu ya uvivu wa kujitafutia maarifa.shule ipo kwenye kusoma vitabu na kupata mafundisho mbalimbali yale mambo ya kupewa cheti yasikuumize sana kichwa. tunafaham usomi wa mtu kwa namna anavyochangia hoja na kupembua. namna anavyotoa masuluhisho kwenye changamoto... mimi nlishaaacha kuulizia ulizia vyetu n.k kuna watu wasomi wa vyeti lakini hawana mchango wowote kwenye jamii.
Hii ni kweli kabisa. mi mwenyewe sikuhizi nimekuwa siamini mtu kuwa kaelimika kwa kuwa ana Degree au ni profesa mpaka nione jinsi anavyojenga hoja na uelewa wake. wasomi wetu wengi wana upeo mdogo sana sababu ya uvivu wa kujitafutia maarifa.
huyu jamaa kima kazi yupo wapi? anapoishi kwa sasa.
Ntashukuru sababu ntapenda nimtembelee binafsi nimsalimie
hahahhahahahhaaaaaathis is an insult.
Hii ni kweli mkuu? Alipata stroke ama? Atakuwa mtu mzima sasa. Mungu Amsaidie nguli huyu wa fasihi na Mwanafalsa wa Falsafa ya Kiafrika [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nilikutana na jamaa mmoja wa UDSM- IKS( Institute of Kiswahili Studies) aliniambia Kezilahabi amepata matatizo ya kwenye ubongo, ubungo wake umefuta kumbukumbu zake zote. Mbaya zaidi amepoteza mpaka uwezo wa kuongea, kwa sasa anafundishwa tena kuunda maneno.
Unajua. Kulikuwa na sababu zake kwamba hata katika baadhi ya akademia za kale za Wagriki Sarufi, Mantiki (Logic) na Fasihi kuu yalikuwa masomo ya lazima. Fasihi inasaidia sana katika kukomaza uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo kwa njia mbadala mbalimbali. Pia ni njia nzuri ya kutolea povu hasa kwa tabaka gandamizwa.nashukuru na kufurahi kuona kuwa bado tuna watu wengi wamesalia katika ulimwengu huu wa elimu. nashukuru kuwa bado kuna wajuzi na wataalamu wa lugha,fasihi na siasa katika kila aina ya nyanja toka enzi na enzi... hawajapotea.
Chuo Kikuu cha Botswana. Profesa wa Fasihi. Ila nimesikia sikia tu habari mbaya kuwa alipata stroke na hawezi kuongea. Sijui kama habari hizo zina ukweli wo wotehuyu jamaa anafundisha shule gani huko botswanq ntahitaji kukutanae nikija kwenda
Unajua. Kulikuwa na sababu zake kwamba hata katika baadhi ya akademia za kale za Wagriki Sarufi, Mantiki (Logic) na Fasihi kuu yalikuwa masomo ya lazima. Fasihi inasaidia sana katika kukomaza uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo kwa njia mbadala mbalimbali. Pia ni njia nzuri ya kutolea povu hasa kwa tabaka gandamizwa.
Sisi leo kila mtoto tunataka awe mwanasayansi pamoja na ukweli kwamba kuna baadhi ya tasnia (mf. Siasa na uongozi) wanasayansi wengi hawaziwezi kutokana na mfumo wao wa kufikiri (kisayansi).
GuDume. ...
Mzee wetu yuko Unguja, ila nimeshindwa kujua ni eneo gani la Unguja.
Hahahahha mkuu literature ulipata mswaki au?Hii ni kweli mkuu? Alipata stroke ama? Atakuwa mtu mzima sasa. Mungu Amsaidie nguli huyu wa fasihi na Mwanafalsa wa Falsafa ya Kiafrika [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
kinaitwa ivyo maana mwakan ntaweza kua kuleChuo Kikuu cha Botswana. Profesa wa Fasihi. Ila nimesikia sikia tu habari mbaya kuwa alipata stroke na hawezi kuongea. Sijui kama habari hizo zina ukweli wo wote