Karate ndio mchezo unaoweza kukuhakikishia safe self defense kwa zaidi ya 90%

Karate ndio mchezo unaoweza kukuhakikishia safe self defense kwa zaidi ya 90%

Hapa wanatafutwa WANAFUNZI WAKAPIGWE PESA. Hakuna mchezo unaokupa asilimia 90 ya ku jidefend. Ugomvi unataka sometimes timing. Unachelewa mwenzako anakuwahi na kisu,bisibisi,chupa au ngumi nzito. Katare inasaidia kukufanya uwe active sikatai lakini usidanganye watu kuwa ndo umemaliza. Haitoi ulinzi asilimia 90 kwa mtu. Huo ni uongo.
 
Sasa iyo teke ukitaka imuingie mtu Inabidi ucheze nae alafu unavizia Kama unaangalia pembeni ivi ndo unaipiga....alafu Kuna moja iko kwenye taikwondo inaitwa bolley kick...aisee ina mvuto wa kimapenzi hatari...Yani ukiwa mbele ya demu wako afu Kuna fala kajipitisha ukiipiga ile lazima ukawekewe maji ya kuoga yaliyoungwa
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hapo juu umesema hauhofii visu wala bisbis,sababu mnavitumia kwenye mazoezi,je mnatumia na mawe?au mna mbinu za kukwepa mawe??
 
Hauwezi kumtisha kwa MAWE Adui aliyeshika BUNDUKI/
Ni uchunguzi tu wa KISCIENCE ambao HAUKUFANIKIWA/
kama ule Wa NG'OMBE kula NYASI tu halafu Anatoa MAZIWA/​
 
Karate kamchezo laini kias ,
Ili mtu uwe na uhakik wa ulinzi
1. Bastola au mishale modern
2.combat pure
3. Mixed martial art hapa kuna krav maga,systema,silat,muay boran,jiujitsu,hapkido,aikido, shaolin ,jeet kune do,

4. Boxing
5.lower acrobatic.
6.ninjutsu kiasi level 4
7.judo.

Hapa atleast unaweza kupambana na yyte duniani usisahau meditation ili kuwa na invisible power
 
Karate kamchezo laini kias ,
Ili mtu uwe na uhakik wa ulinzi
1. Bastola au mishale modern
2.combat pure
3. Mixed martial art hapa kuna krav maga,systema,silat,muay boran,jiujitsu,hapkido,aikido, shaolin ,jeet kune do,

4. Boxing
5.lower acrobatic.
6.ninjutsu kiasi level 4
7.judo.

Hapa atleast unaweza kupambana na yyte duniani usisahau meditation ili kuwa na invisible power
Na kitu cha kwanza kabisa hapo ni Mungu ulinzi wake pia uwe na haki namatendo mema ukumbuke kusali na kushika amri zake ,la utakufa tu mbwa wew[emoji23]
 
Back
Top Bottom