PreGE2025 Karatu: Dkt Slaa afunga kazi na No Reforms No Election, Umati wa waliohudhuria wakosa Idadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Naisi Mch Msigwa ana miss Sana hili vibe ...ni basi tu jamaa walimtaim!
 
Watanzania sio wajinga,watakusikiliza hapo,wakiondoka wana yao tofauti.Mikutano ya Mrema ilikuww ikijaza,,na kumpigia deki barabara,mwisho wa wote chama kikapoteza muelekeo.
 
Ana spritual power ndani yake.

Wazungu wengi hawaamini mambo kama haya ila inapofika sayansi ikafeli wanasema it is someting Natural or Sprit
 
Tamaa nyingi.mbele giza
 
Hakukuwa na msanii yeyote kulaghai wahudhuriaji?!.
Haa HaaBila Shaka Hakuna Msanii
Dodoma Wasanii Tele Mpaka Wengine Hawana Pa Kulala
wajumbe Wametoka Mikoani Kujaza Jakaya Kikwete Convention Centre
 
Ana spritual power ndani yake.

Wazungu wengi hawaamini mambo kama haya ila inapofika sayansi ikafeli wanasema it is someting Natural or Sprit
Mrema alikuwa mpaka akipigiwa deki.barabarani,,kumbe walikuwa wanamuinjoi tu.Waksmuacha solemba
 
Shida inapoanza sasa sisi tunaotakiwa kukumbolewa, hatuko tayari sasa sijui itakuaje!!
 
Shida inapoanza sasa sisi tunaotakiwa kukumbolewa, hatuko tayari sasa sijui itakuaje!!
Watu wapo tayari - inatakiwa wewe uwe kiongozi wao wakufuate na si kukimbia nchi. Hata wana wa Islael walitamani kujikomboa ila hawakuweza kujua namna hadi Mungu alipomnyenyua Mussa kuwasaidia.

Usiwe na hofu - mwaka huu kuna jambo linakwenda kutokea na kuwa historia - Mungu yupo na Taifa letu na hajawahi kushidwa jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…