PreGE2025 Karatu: Dkt Slaa afunga kazi na No Reforms No Election, Umati wa waliohudhuria wakosa Idadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Maajabu ya Gueness
 
Unaambiwa, walihesabiwa wanaume tuu bila wanawake na watoto na idadi yao ilikuwa maelfu.
Ikabidi nabii Slaa agawe mikate na samaki ili wapate nguvu za kuendelea kusikiliza nondo.
 
Mbona huyo mungu hamtoi huko aliposhikiliwa?
 
Hata VIZIWI watasikia tu..DSOs pelekeni taarifa kama zilivyo...Time will tell
DSOs hawa tunaonyang'anyana nao ma bar maids kila leo na wanaoahidi watu kuwasaidia kupata ajira, kuteuliwa, kupanda vyeo na kuhamishwa ili wanunuliwe bia!!???

Hawa wanakula kwa urefu wa kamba zao, taarifa zinapikwa tuu.
 
Mpaka viziwi walikuja kusikiliza nondo πŸ™Œ kweli chadema ni mpango wa mungu πŸ˜‚
 
Kasome mistari hii kwenye bible.
Matendo 16 : 25 - 40.
Danieli 3 : 16 - 28.
Danieli 6 : 1 - 25.

Kama utaelewa, basi utapata jibu la swali lako.
Leta hy mistari ww mwnyw, mm n sina dini hvy sina kitabu cha dini kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…