TANZIA Karatu: Padri Pamphilius Nada auawa na mtu anayedhaniwa kuwa na changamoto ya afya ya akili

Raia wenye hasira kali nao wamemuua muaji mwenye shida ya akili.

Muuaji mwenye shida ya akili alikwenda kwa Padri ili aombewe na hapo hapo kwasababu ya matatizo ya akili akaamua amuue Padri.

Ngoja niendelee kufikiri, ndugu zetu Polisi msiishie hapo.
 
Kwanini aende kwa Padri asiue mtu yeyote...
 
Padri ndie chanzo cha vifo vyote. Katoliki hawana maombi ya usiku wa saa hizo. Kufungua kwake mlango usiku ndio matokeo ya vifo.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Padre wa Kanisa Katoliki anatoa huduma muda wote anapohitajika.

Ni moja ya sababu hawaoi, ili waweze kutumika wanapohitajika.
 
Nnavyojua mwenye tatizo la akili anashambulia yoyote anaekutana nae barabarani lakini hyo kutoka direct kwenda kugonga mlango kwa mtu halafu anamwambia kabisa nnataka uniombeee ,rip marehemu wetu
Alafu akaenda usiku tena wa saa 7 jamani...

Anaonesha kabisa anaakili akijua usiku hamna atayemuona...

Huyu chizi wa mchongo...
 
Nnavyojua mwenye tatizo la akili anashambulia yoyote anaekutana nae barabarani lakini hyo kutoka direct kwenda kugonga mlango kwa mtu halafu anamwambia kabisa nnataka uniombeee ,rip marehemu wetu
Hakuna general formula ya matendo ama mienendo ya watu wenye matatizo ya akili.
 
Back
Top Bottom