TANZIA Karatu: Padri Pamphilius Nada auawa na mtu anayedhaniwa kuwa na changamoto ya afya ya akili

TANZIA Karatu: Padri Pamphilius Nada auawa na mtu anayedhaniwa kuwa na changamoto ya afya ya akili

Raia wenye hasira kali nao wamemuua muaji mwenye shida ya akili.

Muuaji mwenye shida ya akili alikwenda kwa Padri ili aombewe na hapo hapo kwasababu ya matatizo ya akili akaamua amuue Padri.

Ngoja niendelee kufikiri, ndugu zetu Polisi msiishie hapo.

Hapa ndio penyewe.
 
Hakuna general formula ya matendo ama mienendo ya watu wenye matatizo ya akili.

Ila kuna pattern haiwezi kuwepo katika matendo yake.

Usiku kuombewa na kaenda na kitu cha kumpiga nacho mtumishi.?!

Alipotoka alikua na nani? Mkewe? Ndugu? Msaidizi ama mlinzi nyumbani alikotoka? Walijuaje alimpigia simu Padri na kuomba kuja kuombewa?

Kwanini Padri hana msaidizi ambae ndio alipaswa afungue mlango na kumkaribisha mgeni? Padri anaishi peke yake?

Nyumba ya kanisa? Ipo mazingira ya kanisani ama uraiani? Hakuna mlinzi? Hakuna housekeeper?

Kama anajulikana ni mgonjwa wa akili kwanini ameuawa haraka na hao wananchi? Kwanini hawakumfunga Kamba na kumuweka chini ya ulinzi mkali kwa kutumia hizo hasira zao kali?

Nani anaratibu hii kitu??
 
Huyo jamaa alizuiwa na walinzi kuingia akarudi tena alfajiri ndio paroko baada ya kusikia mabishano akaja getini na kuamuru afunguliwe aingie ndio mbele ya safari padri akauawa.

Mbona Haya maelezo hayapo kwenye Habari kuu? Kama yana ukweli yawekwe?

Hao walinzi ni wangapi wamemshindwa mtu mmoja?

Alimuua Padri ndani ya nyumba wakiwa wawili tu ama mbele ya hao walinzi?

Hicho kitu alichotumia kumpiga nacho Padri kapita nacho vipi mbele ya hao walinzi? Alikificha? Lilikua ni panga ama nondo ama kisu?

Sababu sio ugonjwa wa akili.
 
Kaka pitia page ya mwananchi utaona, jamaa alikuja usiku akalazimisha kuingia kusali akazuiliwa, akaja tena alfajiri na kulazimisha kuingia bado walinzi wakamzuia ndio padri baada ya kusikia mabishano ndio akaja na kuhoji kinachoendelea, padri akaamuru afunguliwe aingie akasali ndio akaanza kuongozana na padri kuingia kanisani walivyoingia mlangoni kukawa na chuma ambacho kinatumika kufungia mlango ndio jamaa akakiokota na kumpiga nacho padri.
Walinzi walivyosikia kelele za padri ndio kwenda kuangalia kulikoni, walivyokuta hali ile wakagonga kengele kuashiria kuna tatizo ndio wananchi wakaja na kumuua muuaji.
 
Kwa kusoma maandishi yako tuu, wewe ni wale waliokaririshwa maandishi yanayotoka nyuma
Nyuma ni wapi we mbwa!?..wachina maandishi yao yanaanzia juu kwenda chini,yapo kabla hayo maandishi unayoona sawasawa kuwepo
 
Waumini nao wamemuua muuaji wa paroko, ile samehe saba mara 70 haikutumika, halafu mkitoka hapo mnasema wakristo hamna matatizo
Maumbile ya binaadam hayapo hivyo,huwa porojo tu katika Hali ya kawaida ya binaadam
 
Kaka pitia page ya mwananchi utaona, jamaa alikuja usiku akalazimisha kuingia kusali akazuiliwa, akaja tena alfajiri na kulazimisha kuingia bado walinzi wakamzuia ndio padri baada ya kusikia mabishano ndio akaja na kuhoji kinachoendelea, padri akaamuru afunguliwe aingie akasali ndio akaanza kuongozana na padri kuingia kanisani walivyoingia mlangoni kukawa na chuma ambacho kinatumika kufungia mlango ndio jamaa akakiokota na kumpiga nacho padri.
Walinzi walivyosikia kelele za padri ndio kwenda kuangalia kulikoni, walivyokuta hali ile wakagonga kengele kuashiria kuna tatizo ndio wananchi wakaja na kumuua muuaji.

Kwa maelezo Haya sababu hasa wanaijua marehemu wote wawili. Wananchi wamefanya maamuzi ya haraka na ya kijinga kumuua, wangemuweka chini ya ulinzi.

Ila amefikaje kutoka mikono ya walinzi wa kanisa ndani ya kanisa mpaka kwa wananchi ambao nadhani walikua nje?
 
Bahati Nzuri zaidi kanisa linautaratibu wa kuwepo na wasaidizi wa mapadri katika makazi yao, huyu wa kwake walikua wapi?
Hao ni kama mimi na wewe tu,wasaidizi wapo ila muda wao wa kazi ukiisha huondoka makwao Padre yeye anaishi peke yake ndani ya nyumba labda walinzi wawe nje.

Kikanisa na kanuni za imani Catholic mimi muumini naruhusiwa muda wowote kwenda kuomba huduma ya Padre nikihisi either mimi au mwenzangu yupo ktk hatari ya kifo au chochote nitakachohisi kitanifanya nisiione kesho,kwa wito aliouchagua Padre hana kitakachomfanya ashindwe kutoa huduma kwa muumini aliyehitaji huduma yake pale anapokuwa idle (amepumzika/lala) labda awe na kazi nyingine so ktk kutekeleza wito wake huo ndo ajali hizo zinatokea.
 
Back
Top Bottom