TANZIA Karatu: Padri Pamphilius Nada auawa na mtu anayedhaniwa kuwa na changamoto ya afya ya akili

Ndo maana nimekazia ... kufungua kwa watu anaowajua...kama ni muumini anataka sakrament ya upako wa mwisho angekuja hata na kiongozi wa jumuiya.
Bahati mbaya mapadre wanafundishwa kuwahudumia wahitaji wote, hata wasiowafahamu! Rejea Mathayo 5:47
 
Karatu jana kuna jamaa saa saba usiku ameenda Kanisani kumgongea mlango Paroko amuombee, Paroko alivyofungua Kanisani jamaa aingie amuombee kumbe alikuwa na chuma akapiga sana. Paroko ameenda kufia Fame Medical.

Wananchi wenye hasira nao wamemuua Mtuhumiwa

----
Padri Pamphilius Nada wa Parokia ya Karatu amevamiwa na kuuwa na mtu ambaye anayedhaniwa kuwa hana akili timamu usiku wa kuamkia leo tarehe 19.7. 2023.

Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi. Amina.

KAMANDA WA POLISI ARUSHA ATHIBITISHA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema “Mtuhumiwa aliyemshambulia Padri kwa nyundo inadaiwa alikuwa na changamoto ya afya ya akili, naye alifariki baada ya kushambuliwa na Wananchi wenye hasira kali eneo la tukio.”
pole kwa kanisa. halafu, hivi hawa watu kwanini wanakuwaga na roho ngumu sana? sitaki kusema roho mbaya, ila aisee wana roho ngumuuu, ukitaka kujua hilo soma seminari au peleka mtoto kwenye shule zao,
 
Karatu jana kuna jamaa saa saba usiku ameenda Kanisani kumgongea mlango Paroko amuombee, Paroko alivyofungua Kanisani jamaa aingie amuombee kumbe alikuwa na chuma akapiga sana. Paroko ameenda kufia Fame Medical.

Wananchi wenye hasira nao wamemuua Mtuhumiwa

----
Padri Pamphilius Nada wa Parokia ya Karatu amevamiwa na kuuwa na mtu ambaye anayedhaniwa kuwa hana akili timamu usiku wa kuamkia leo tarehe 19.7. 2023.

Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi. Amina.

KAMANDA WA POLISI ARUSHA ATHIBITISHA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema “Mtuhumiwa aliyemshambulia Padri kwa nyundo inadaiwa alikuwa na changamoto ya afya ya akili, naye alifariki baada ya kushambuliwa na Wananchi wenye hasira kali eneo la tukio.”
Hapa kuna ukweli unafichwa,yaani mtu aje usiku akugongee ukamumbeee?huyu jamaa ana mke?
 
Karatu jana kuna jamaa saa saba usiku ameenda Kanisani kumgongea mlango Paroko amuombee, Paroko alivyofungua Kanisani jamaa aingie amuombee kumbe alikuwa na chuma akapiga sana. Paroko ameenda kufia Fame Medical.

Wananchi wenye hasira nao wamemuua Mtuhumiwa

----
Padri Pamphilius Nada wa Parokia ya Karatu amevamiwa na kuuwa na mtu ambaye anayedhaniwa kuwa hana akili timamu usiku wa kuamkia leo tarehe 19.7. 2023.

Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi. Amina.

KAMANDA WA POLISI ARUSHA ATHIBITISHA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema “Mtuhumiwa aliyemshambulia Padri kwa nyundo inadaiwa alikuwa na changamoto ya afya ya akili, naye alifariki baada ya kushambuliwa na Wananchi wenye hasira kali eneo la tukio.”
Karatu na mbulu kuna vichaa wengi sana sijui shida ni nini
 
Ilitabiriwa kuwa,

Ataingia Kanisani kuleta kitabu, bt mwishoni Atajikabidhi tena Kwa Kanisa.

Tusubiri.
 
Back
Top Bottom