Ndo maana nimekazia ... kufungua kwa watu anaowajua...kama ni muumini anataka sakrament ya upako wa mwisho angekuja hata na kiongozi wa jumuiya.Padre hutoa huduma 24/7.
Angekuwa na uhakika gani na maisha ya huyo mtu kesho yake?
Bahati mbaya mapadre wanafundishwa kuwahudumia wahitaji wote, hata wasiowafahamu! Rejea Mathayo 5:47Ndo maana nimekazia ... kufungua kwa watu anaowajua...kama ni muumini anataka sakrament ya upako wa mwisho angekuja hata na kiongozi wa jumuiya.
Sawa Mungu awajalie Kifo chema.Bahati mbaya mapadre wanafundishwa kuwahudumia wahitaji wote, hata wasiowafahamu! Rejea Mathayo 5:47
Atakuwa sio huyo unayemfikiria,angekuwa ni huyo,angeitwa gaidi.Jina lake huyo mtu mbona linafichwa? Au mvaa kobazi?
Angekuwa wa imani nuingine,angeitwa gaidi.Huyo anaitwa msamaria mwema.Nnavyojua mwenye tatizo la akili anashambulia yoyote anaekutana nae barabarani lakini hyo kutoka direct kwenda kugonga mlango kwa mtu halafu anamwambia kabisa nnataka uniombeee ,rip marehemu wetu
Huyu angekuwa wa imani nyingine angeitwa gaidi.Hapa tunamwita ana matatizo ya akili.Alafu akaenda usiku tena wa saa 7 jamani...
Anaonesha kabisa anaakili akijua usiku hamna atayemuona...
Huyu chizi wa mchongo...
Huyu angekuwa wa imani nyingine angeitwa gaidi.Hapa tunamwita ana matatizo ya akili.
pole kwa kanisa. halafu, hivi hawa watu kwanini wanakuwaga na roho ngumu sana? sitaki kusema roho mbaya, ila aisee wana roho ngumuuu, ukitaka kujua hilo soma seminari au peleka mtoto kwenye shule zao,Karatu jana kuna jamaa saa saba usiku ameenda Kanisani kumgongea mlango Paroko amuombee, Paroko alivyofungua Kanisani jamaa aingie amuombee kumbe alikuwa na chuma akapiga sana. Paroko ameenda kufia Fame Medical.
Wananchi wenye hasira nao wamemuua Mtuhumiwa
----
Padri Pamphilius Nada wa Parokia ya Karatu amevamiwa na kuuwa na mtu ambaye anayedhaniwa kuwa hana akili timamu usiku wa kuamkia leo tarehe 19.7. 2023.
Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi. Amina.
KAMANDA WA POLISI ARUSHA ATHIBITISHA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema “Mtuhumiwa aliyemshambulia Padri kwa nyundo inadaiwa alikuwa na changamoto ya afya ya akili, naye alifariki baada ya kushambuliwa na Wananchi wenye hasira kali eneo la tukio.”
nasikia wananchi nao wamemdedisha muuajiAliyemuua paroko ndio anatakiwa aseme
Alale salama Padre wetu
Hapa kuna ukweli unafichwa,yaani mtu aje usiku akugongee ukamumbeee?huyu jamaa ana mke?Karatu jana kuna jamaa saa saba usiku ameenda Kanisani kumgongea mlango Paroko amuombee, Paroko alivyofungua Kanisani jamaa aingie amuombee kumbe alikuwa na chuma akapiga sana. Paroko ameenda kufia Fame Medical.
Wananchi wenye hasira nao wamemuua Mtuhumiwa
----
Padri Pamphilius Nada wa Parokia ya Karatu amevamiwa na kuuwa na mtu ambaye anayedhaniwa kuwa hana akili timamu usiku wa kuamkia leo tarehe 19.7. 2023.
Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi. Amina.
KAMANDA WA POLISI ARUSHA ATHIBITISHA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema “Mtuhumiwa aliyemshambulia Padri kwa nyundo inadaiwa alikuwa na changamoto ya afya ya akili, naye alifariki baada ya kushambuliwa na Wananchi wenye hasira kali eneo la tukio.”
Hii mbugila yenyewe inawaza kuli.wa tu[emoji856]Isijekuwa padri alikuwa staili ya Slaa.
Karatu na mbulu kuna vichaa wengi sana sijui shida ni niniKaratu jana kuna jamaa saa saba usiku ameenda Kanisani kumgongea mlango Paroko amuombee, Paroko alivyofungua Kanisani jamaa aingie amuombee kumbe alikuwa na chuma akapiga sana. Paroko ameenda kufia Fame Medical.
Wananchi wenye hasira nao wamemuua Mtuhumiwa
----
Padri Pamphilius Nada wa Parokia ya Karatu amevamiwa na kuuwa na mtu ambaye anayedhaniwa kuwa hana akili timamu usiku wa kuamkia leo tarehe 19.7. 2023.
Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi. Amina.
KAMANDA WA POLISI ARUSHA ATHIBITISHA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema “Mtuhumiwa aliyemshambulia Padri kwa nyundo inadaiwa alikuwa na changamoto ya afya ya akili, naye alifariki baada ya kushambuliwa na Wananchi wenye hasira kali eneo la tukio.”
nasikia wananchi nao wamemdedisha muuaji
Wavaa kobazi wengi wana matatizo ya akili, nilitaka kujua hilo tu.Matatizo ya akili tunayoongelea mmoja wapo ndio ww kwani akiwa mvaa kobazi ndio hawezi kuwa na matatizo ya akili au akiwa mvaa kobazi kesi inabadilika
Kwani ukisikia mvaa kobazi wewe unelewa nini?Atakuwa sio huyo unayemfikiria,angekuwa ni huyo,angeitwa gaidi.