Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Raia wenye hasira kali nao wamemuua muaji mwenye shida ya akili.
Muuaji mwenye shida ya akili alikwenda kwa Padri ili aombewe na hapo hapo kwasababu ya matatizo ya akili akaamua amuue Padri.
Ngoja niendelee kufikiri, ndugu zetu Polisi msiishie hapo.
Hakuna general formula ya matendo ama mienendo ya watu wenye matatizo ya akili.
Bahati mbaya mapadre wanafundishwa kuwahudumia wahitaji wote, hata wasiowafahamu! Rejea Mathayo 5:47
Huyo jamaa alizuiwa na walinzi kuingia akarudi tena alfajiri ndio paroko baada ya kusikia mabishano akaja getini na kuamuru afunguliwe aingie ndio mbele ya safari padri akauawa.
Kaka pitia page ya mwananchi utaona, jamaa alikuja usiku akalazimisha kuingia kusali akazuiliwa, akaja tena alfajiri na kulazimisha kuingia bado walinzi wakamzuia ndio padri baada ya kusikia mabishano ndio akaja na kuhoji kinachoendelea, padri akaamuru afunguliwe aingie akasali ndio akaanza kuongozana na padri kuingia kanisani walivyoingia mlangoni kukawa na chuma ambacho kinatumika kufungia mlango ndio jamaa akakiokota na kumpiga nacho padri.Mbona Haya maelezo hayapo kwenye Habari kuu? Kama yana ukweli yawekwe?
Hao walinzi ni wangapi wamemshindwa mtu mmoja?
Alimuua Padri ndani ya nyumba wakiwa wawili tu ama mbele ya hao walinzi?
Hicho kitu alichotumia kumpiga nacho Padri kapita nacho vipi mbele ya hao walinzi? Alikificha? Lilikua ni panga ama nondo ama kisu?
Sababu sio ugonjwa wa akili.
Wamefanya ugaidi kwa kumuua mgonjwa wa akili.Waumini nao wamemuua muuaji wa paroko, ile samehe saba mara 70 haikutumika, halafu mkitoka hapo mnasema wakristo hamna matatizo
Nyuma ni wapi we mbwa!?..wachina maandishi yao yanaanzia juu kwenda chini,yapo kabla hayo maandishi unayoona sawasawa kuwepoKwa kusoma maandishi yako tuu, wewe ni wale waliokaririshwa maandishi yanayotoka nyuma
Maumbile ya binaadam hayapo hivyo,huwa porojo tu katika Hali ya kawaida ya binaadamWaumini nao wamemuua muuaji wa paroko, ile samehe saba mara 70 haikutumika, halafu mkitoka hapo mnasema wakristo hamna matatizo
Maswali ya kitura haya huwa sijibu watafute wa Sup wenzio uwaulize...Mtu mwema nani Padri?
Kitu gani kimekupa kiashirio kwamba ni mtu mwema? Yeye kuwa Padri?
Ama unamfahamu binafsi?
Kaka pitia page ya mwananchi utaona, jamaa alikuja usiku akalazimisha kuingia kusali akazuiliwa, akaja tena alfajiri na kulazimisha kuingia bado walinzi wakamzuia ndio padri baada ya kusikia mabishano ndio akaja na kuhoji kinachoendelea, padri akaamuru afunguliwe aingie akasali ndio akaanza kuongozana na padri kuingia kanisani walivyoingia mlangoni kukawa na chuma ambacho kinatumika kufungia mlango ndio jamaa akakiokota na kumpiga nacho padri.
Walinzi walivyosikia kelele za padri ndio kwenda kuangalia kulikoni, walivyokuta hali ile wakagonga kengele kuashiria kuna tatizo ndio wananchi wakaja na kumuua muuaji.
Maswali ya kitura haya huwa sijibu watafute wa Sup wenzio uwaulize...
Hao ni kama mimi na wewe tu,wasaidizi wapo ila muda wao wa kazi ukiisha huondoka makwao Padre yeye anaishi peke yake ndani ya nyumba labda walinzi wawe nje.Bahati Nzuri zaidi kanisa linautaratibu wa kuwepo na wasaidizi wa mapadri katika makazi yao, huyu wa kwake walikua wapi?