TANZIA Kardinali Pengo afariki Dunia akiwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

May his soul rest in eternal peace!
 
Siku moja baada ya Jumatano ya majivu.. Rip Askofu Pengo
 
R.I.P Pengo, kobazi pia uliwapambania!🙏
 

Attachments

  • Facebook_20251120_3.mp4
    7.4 MB
  • Facebook_20251120_3.mp4
    7.4 MB
Ikimpendeza Mungu amchukue na Padre Kitime kama kifungashio maana ndo wachochezi na washabiki wa magenge ya wale wahalifu wezi na waharibifu wa mali wa October 29 , baada ya uhalifu wao wakakimbia kujifungia ndani mwisho wakafa watu wasio na hatia.
Uzuri hata wewe utawaacha watu watasema umetangulia. Katika kitu cha uhakika duniani, vingine sijui ni KIFO tu. Hii ngoma hawabet sababu ni uhakika na kweli. Furahia ya wenzio na wenzio wafurahie yako . Hutoboi!!!
Uzuri hamna mtu alirudi.
 
Huyu ni mmoja ya nguzo za Ccm kuendelea kuwatawala kupitia dini imeondoka, kwa upande wa Roman Catholic Ccm kwa sasa haina pandikizi, waongeze nguvu zao Bakwata.

Tec ya sasa siyo ya Pengo, inakabia juu kabisa.

Ni wakati sasa wa Vatican kuachana na urasimu papa The holy see atoke Vatican aje kumzika Kadinali wake Tanzania.

Nina imani Papa leo bado ana nguvu kusafiri siyo issue kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…