Sio rahisi sana pope kuja kumzika kadinali , hata pale Vatican makadinali wengi wanazikwa bila papa kuhudhuria sembuse kusafiri umbali mrefu namna hii.Huyu ni mmoja ya nguzo za Ccm kuendelea kuwatawala kupitia dini imeondoka, kwa upande wa Roman Catholic Ccm kwa sasa haina pandikizi, waongeze nguvu zao Bakwata.
Tec ya sasa siyo ya Pengo, inakabia juu kabisa.
Ni wakati sasa wa Vatican kuachana na urasimu papa The holy see atoke Vatican aje kumzika Kadinali wake Tanzania.
Nina imani Papa leo bado ana nguvu kusafiri siyo issue kwake.
Jibu maridhawa kabisa!Uzuri hata wewe utawaacha watu watasema umetangulia. Katika kitu cha uhakika duniani, vingine sijui ni KIFO tu. Hii ngoma hawabet sababu ni uhakika na kweli. Furahia ya wenzio na wenzio wafurahie yako . Hutoboi!!!
Uzuri hamna mtu alirudi.
AaaaminAwekwe mahali anappstahili
MmmmmmnTunaomba, Mungu amjalie pumziko jema mtumishi wake katika ufalme wake wa milele.
Raha ya milele umpe eeh Bwana. Na Mwanga wa Milele umwangazie. Apumzike kwa amani. Amina.Pumzika kwa amani mwadhama Kardinali Pengo. Tuonane mbinguni asubuhi iliyo njema.
=====
YAH: TANGAZO LA KIFO
Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazieni kwamba leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku huu mpendwa baba yetu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele akiwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam.
Taarifa za mazishi zitawajia mara baada ya mipango kukamilika. Tumwombee apumzike kwa amani.
Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa Milele Umwangazie, Apumzike kwa Amani; Amina.
Katika Kristo,
Thaddaeus S. Ruwa'ichi OFM Cap
Askofu Mkuu wa Dar es Salaam
May All Beings Attain Enlightenment.
Unazidi kumchanganyaThrough meritorious awakening.