TANZIA Kardinali Pengo afariki Dunia akiwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

Apumzike kwa amani

Mzee alikuwa Smart sana
Tulipenda kumtania sana pale st Joseph enzi za uzee wake

Ukarim wake naufananisha na ule wa father kitima
 
Apumzike kwa Amani
 
Wale wakatoriki fake wa buza. Watakuwepo kwenye huu msiba?wakikutana na fr. Kitime (PhD) itakuwaje?
CHADEMA wenzako wako bize kuilaumu serikali kwa kifo cha jambazi sugu Banjoo halafu wewe uko huku unauliza maswali ya kijinga??!!.. kajiunge na wenzako kuituhumu serikali kwa kifo cha jambazi sugu.
 
Sio Dr Lengo (PhD)?
 
Apumzike kwa amani

Mzee alikuwa Smart sana
Tulipenda kumtania sana pale st Joseph enzi za uzee wake

Ukarim wake naufananisha na ule wa father kitima
Alikua na udini wa kijingajinga tu zaidi ya udini wa kijinga walio nao wale wavaa magauni wenzie pale bar kurasini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…