Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Wakati nyinyi vibaka mkiiba mitungi ya gesi sisi waungwana tulikuwa tunapiga kura.Mkuu wa nchi? Alichaguliwa na nani huyu muuJi?
Juzi tu katoka kulitukana kanisa Leo anataka pole?
Hapaswi hata kushiriki maOko huyu
Nakupuuza sababu hauna akili.Punguzeni chuki na upunguani wa kipuuzi, mkuu wa nchi ya TZ anayo haki ya kuishi vizuri na kiongozi mkuu mstaafu wa jimbo kuu la Dar.
Kwenye kituo kilichopo mitaani kwangu walopiga kura hawakuzidi 10 kati ya watu 320 walojiandikisha. Nilishuhudia mwenyeweWakati nyinyi vibaka mkiiba mitungi ya gesi sisi waungwana tulikuwa tunapiga kura.
Endeleeni tu kususa mkishtuka 2030 hiyo hapo, mnaanza tena ujinga wenu.
Kumchagua Lissu kuwaongoza limekuwa kosa kubwa mmelifanya, mmechagua siasa za hasira ujuaji na chuki badala ya zile zenye kuleta muafaka kwenye jamii.
R.I.P Pengo, kobazi pia uliwapambania!🙏
Hiyo signature noma sanaPumzika kwa amani mwadhama Kardinali Pengo. Tuonane mbinguni asubuhi iliyo njema.
=====
YAH: TANGAZO LA KIFO
Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazieni kwamba leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku huu mpendwa baba yetu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele akiwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam.
Taarifa za mazishi zitawajia mara baada ya mipango kukamilika. Tumwombee apumzike kwa amani.
Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa Milele Umwangazie, Apumzike kwa Amani; Amina.
Katika Kristo,
Thaddaeus S. Ruwa'ichi OFM Cap
Askofu Mkuu wa Dar es Salaam
Acha story za uongoHakika wale waliokufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina watakuwa katika Moto wa Jahannam, watadumu humo milele. Hao ndio viumbe wabaya zaidi.”
(Surat Al-Bayyinah 98:6)
5:72 “Hakika wamekufuru wale waliosema: ‘Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu.’ … Hakika anayemshirikisha Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amemharamishia Pepo, na makazi yake ni Moto.”
5:73 “Hakika wamekufuru wale waliosema: ‘Mwenyezi Mungu ni mmoja katika watatu.’ … Wala hapana mungu isipokuwa Mungu Mmoja…”
3:85“Na atakayekuwa anatafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi haitakubaliwa kwake, naye Akhera atakuwa miongoni mwa wenye hasara.”
9:17“It is not for the polytheists to maintain the mosques of Allah [while] witnessing against themselves with disbelief. [For] those, their deeds have become worthless, and in the Fire they will abide eternally.”
Ushahidi please usitapike tuAcha story za uongo
Hakika wale waliokufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina watakuwa katika Moto wa Jahannam, watadumu humo milele. Hao ndio viumbe wabaya zaidi.”
(Surat Al-Bayyinah 98:6)
5:72 “Hakika wamekufuru wale waliosema: ‘Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu.’ … Hakika anayemshirikisha Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amemharamishia Pepo, na makazi yake ni Moto.”
5:73 “Hakika wamekufuru wale waliosema: ‘Mwenyezi Mungu ni mmoja katika watatu.’ … Wala hapana mungu isipokuwa Mungu Mmoja…”
3:85“Na atakayekuwa anatafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi haitakubaliwa kwake, naye Akhera atakuwa miongoni mwa wenye hasara.
sio kweli, rabda zaman.. hakupenda nchi inavo ongozwa.Awekwe mahali anapostahili kutokana na matendo yake hapa Duniani
Alikuwa kada wa ccm
Wee jamaa ni mwendawazimu kweliWakati nyinyi vibaka mkiiba mitungi ya gesi sisi waungwana tulikuwa tunapiga kura.
Endeleeni tu kususa mkishtuka 2030 hiyo hapo, mnaanza tena ujinga wenu.
Kumchagua Lissu kuwaongoza limekuwa kosa kubwa mmelifanya, mmechagua siasa za hasira ujuaji na chuki badala ya zile zenye kuleta muafaka kwenye jamii.
Lete ushahidi usitoe povuhiki kitabu mweny akili akikisoma atagundua kunaunafk umeandkwa na si njia ya kumfanya aishi kwa upendo na matendo mema kama njia ya kumwepusha na huo moto muaminishwao. Utazan nyie ndio mlio uwasha jehanam.
MNAPUMBAZWA
If you have been close with mzee Magu is better to go outside country for treatment.Pumzika kwa amani mwadhama Kardinali Pengo. Tuonane mbinguni asubuhi iliyo njema.
=====
YAH: TANGAZO LA KIFO
Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazieni kwamba leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku huu mpendwa baba yetu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele akiwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam.
Taarifa za mazishi zitawajia mara baada ya mipango kukamilika. Tumwombee apumzike kwa amani.
Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa Milele Umwangazie, Apumzike kwa Amani; Amina.
Katika Kristo,
Thaddaeus S. Ruwa'ichi OFM Cap
Askofu Mkuu wa Dar es Salaam
“Crocodile tears “ = smileAnamlilia kadinali Pengo?