Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda hufahamu maana ya wachumia tumbo, au hufahamu makuhani wa Kikatoliki wanapata riziki zao kwa njia zipiuyo mzee ni mchumia tumbo kama wachumia tumbo wengine.
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu hivyo vyote vimetushinda ila kuna baadhi tuliwapa watu ikiwemo viwanda na hiyo reli, je tumepata ufanisi wowote? Sasa tuniulize tatizo huwa ni sisi wa Tz hatuna uwezo au ni mfumo na sheria zetu? Mbona tumebinafisha vingi ila matokeo ni mabovu tu. Vipi kuhusu gas nayo.Kwani kuna lipi mmeweza?
Tazara imewashinda
ATC imewashinda.
Huduma za maji, umeme zimewashinda.
1. Viwanda tulibinafsisha tukaangukia puaNakubaliana na wewe kabisa mkuu hivyo vyote vimetushinda ila kuna baadhi tuliwapa watu ikiwemo viwanda na hiyo reli, je tumepata ufanisi wowote? Sasa tuniulize tatizo huwa ni sisi wa Tz hatuna uwezo au ni mfumo na sheria zetu? Mbona tumebinafisha vingi ila matokeo ni mabovu tu. Vipi kuhusu gas nayo.
Nakubaliana na Pengo ilaa alikuwa wapi siku za uuzwaji wa migodi viwanda nyumba na mkapa kikwete, mwinyi .Vipi hoja yake nayo haiaminiki?
Sio mwarabu tuu ni mtu yoyote mwenye uwezo na hata uzoefu kama tulivyobinafsisha fani ya uhasibu katika makampuni mengi binafsi na hata sekta ya bima.
Bams : kumbuka kuwa sio lazima serikali kusema imeshindwa la hasha ni kutaka kujikita katika kutekeleza majukumu ya jamii zaidi na sio biashara tena.
Ngoja nikupe mifano wa kampuni zilizokuwa zinafanya vibaya ila baada ya kuja wawekezaji sasa serikali inapata mapato makubwa:
1. TBL - South Africa
2. NMB - Uholanzi
3. NBC - South Africa
4. TCC - Japan
5. TOL - Anold Kilewo Rombo Tanzania
Na mengine mengi tuu!
Swali mbona kipindi hicho hakuna pimbi iliyolalamikia hizo nchi tajwa hapo juu! Au Chuki ni nini kumbafu zenu au ni uelewa wa mambo finyu mamayo zenu!!!
Ni hivi: Viongozi wa bandari huteuliwa na wanasiasa wa Tanzania. Hili limefanya siasa performance iwe chini muda wote kama walivyoshindwa kuendesha nchi. Tatizo ni kwamba japo wameshindwa lakini hawataki kukubali.
Watu kama wewe uwezo wenu unakomea kwenye ngazi ya kifamilia.We nchi iliyoshindwa Endeshwa waijua...Congo nao wasemeje?
Mzeee uko wapi tuendeleze kurudumu la DpPHD zote hizi zimeshindwa kuendesha Bandari miaka 60 ya Uhuru kweli.?
Nimemkumbuka Mwenyekiti wangu Mchungaji Christopher Mtikila wa Chama chetu cha Democratic Party (DP)
Ni ugonjwa wa Epidomia
Tuna Unyani Bado.
Ni ngumu sana kuelewa Some of these comments while everything is controlled from Roma"....huenda Serikali imeona kuna tija. Lakini najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!
"....je, pesa ni muhimu kuliko kuwajengea uwezo Watanzania ili wao waweze kuiendesha bandari yao?! Kila mmoja wetu ajiulize hilo."
"....mwenyezi Mungu alimuumba mwanadamu ili aweze kutawala mali na hata pesa. Hilo ndilo jawabu langu la ki maadili."
"Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi," Pengo.
Kanisa Katoliki TV.
Huyu ndiye Pengo, strictly Askofu, jiwe la pembeni. Hapo hasemei ubaya wa mkataba, hapo anaongelea self reliance na maadili ya kuwatoa makuli wa Harbours kwa kutumia kompyuta. Hii itakuwa mara ya 2 anaokoa jahazi: kwenye waraka wa maaskofu kuamuru watu kuikataa katibapendekezwa, na sasa hii ya DPWorld. Kote kuwili saini yake haipo."....huenda Serikali imeona kuna tija. Lakini najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!
"....je, pesa ni muhimu kuliko kuwajengea uwezo Watanzania ili wao waweze kuiendesha bandari yao?! Kila mmoja wetu ajiulize hilo."
"....mwenyezi Mungu alimuumba mwanadamu ili aweze kutawala mali na hata pesa. Hilo ndilo jawabu langu la ki maadili."
"Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi," Pengo.
Kanisa Katoliki TV.
.....kashgar za nono? Kwa mfano Dr Slaa.....Bahati yake tuu Catholic is very strong la sivyo tungewapa hao Waajemi nayo waendeshe kanisa! Ametutokea wapi yeye adili na maadali ya mapadre wake kila siku wana kashfa za ngono ! Bandari inamhusu nini!
Nikuongezee machache tu ndugu. Mbali na bandari, Tazara tumeweza? Tanesco tumeweza? TTCL tumeweza? ATCL tumeweza? Viwanda tumeweza? NHC tumeweza? Posta tumeweza? Viwanda tumeweza? Elimu Ubora wa taasisi zetu tumeweza? Kwenye Afya tumeweza? Kilimo na ufugaji tumeweza, madini na maji tumeweza? Orodha ni ndefu ya tuliyoshindwa.It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Hatuwezi au wanaopaswa kusimamia, kwa maana Viongozi Serikalini (Wizara husika), ndio hawawezi!It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Ulitakiwa kujibu hoja sio kumshambulia mtu, na hii tabia imekwezwa sana na imeachwa iwatafune pasipo kufikiria.Tatizo la Pengo ni kutokuaminika
Hatuwezi au wanaopaswa kusimamia, kwa maana Viongozi Serikalini (Wizara husika), ndio hawawezi!
Kwa hoja yako basi tuikabidhi Serikali kwa wanaoweza kuiendesha km Emirate ya Dubai ambayo inafanya makubwa duniani hadi utalii wakati tuna vivutio vingi, ukiacha utajiri wa madini, mito, maziwa, bahari na ardhi yenye rutuba!