Karia Akiendelea Hivi, Yanga hatumpi Kura Mama Samia

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.

Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
 
TISS msomali, huyu ndiye alipelekea mkuu wa majeshi kumwambia mama kuna wageni wako ngazi za juu serikalini.

Unaweza hisi nimekosea kwakuwa unaamini TFF haifungamani na serikali, mimi sizungumzii TFF nazungumzia jasusi Karia kupata taarifa za ndani zinazompa kiburi.

Msomali kama msomali.
 
Aliyewaita Chura hakukosea. Maana Yanga hamna akili hata kidogo
 
Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.

Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Kwani huyo mama Samia anahitaji kura ili kuwa rais? Katafute kitisho kingine sio hicho cha kura boss.
 
Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.

Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Huyo ni msomali. Nenda kwao uone kama hata ubalozi utapewa.
Msomali anaongoza soka la Tanzania
 
Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.

Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Nyie ndo mnafanya yanga wote tuonekane hatuna akili 🤣
 
Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.

Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Ama kweli mashabiki wa Yanga ni vilaza. Mambo yenu ya ushabiki mandazi yanahusiana vipi na uongozi wa nchi? Mmeamua kuendesha mpira wenu Kiswahili swahili endeleeni hivyo hivyo.
Kauli ya Karia inaonyesha kuwa, kuna kulindana sana kwenye hivyo vilabu vyenu.
Mimi nilikua shabiki wa Simba, lakinj kwa ujinga ule wa kugomea mechi, sitaki mazoea nao tena. The same applies to Yanga.
 
TISS msomali, huyu ndiye alipelekea mkuu wa majeshi kumwambia mama kuna wageni wako ngazi za juu serikalini.

Unaweza hisi nimekosea kwakuwa unaamini TFF haifungamani na serikali, mimi sizungumzii TFF nazungumzia jasusi Karia kupata taarifa za ndani zinazompa kiburi.

Msomali kama msomali.
Yanga Raisi naye msomali,na mfadhili ni mwarabu
 
Back
Top Bottom