ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Aliyewaita Chura hakukosea. Maana Yanga hamna akili hata kidogoKaria Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.
Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Kwani huyo mama Samia anahitaji kura ili kuwa rais? Katafute kitisho kingine sio hicho cha kura boss.Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.
Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Sawa kariaKwani huyo mama Samia anahitaji kura ili kuwa rais? Katafute kitisho kingine sio hicho cha kura boss.
Club ipi CCm, Chadema au ChaumaWenye akili hapo kwenye club yenu ni wawili tu.
Huyo ni msomali. Nenda kwao uone kama hata ubalozi utapewa.Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.
Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Nyie ndo mnafanya yanga wote tuonekane hatuna akili 🤣Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.
Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Ama kweli mashabiki wa Yanga ni vilaza. Mambo yenu ya ushabiki mandazi yanahusiana vipi na uongozi wa nchi? Mmeamua kuendesha mpira wenu Kiswahili swahili endeleeni hivyo hivyo.Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.
Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Yanga Raisi naye msomali,na mfadhili ni mwarabuTISS msomali, huyu ndiye alipelekea mkuu wa majeshi kumwambia mama kuna wageni wako ngazi za juu serikalini.
Unaweza hisi nimekosea kwakuwa unaamini TFF haifungamani na serikali, mimi sizungumzii TFF nazungumzia jasusi Karia kupata taarifa za ndani zinazompa kiburi.
Msomali kama msomali.