Karia Akiendelea Hivi, Yanga hatumpi Kura Mama Samia

Wewe ndiye msemaji wa Yanga?
 
Wewe ndo unafanya tuamini kauli ya manara ya kusema yanga wenye akili ni wawili tu baba yake na mzee Jakaya
Manara asiye na akili anawezaje kujua wasio na akili na wenye akili?
Jamaa mwehu punguani kwako ndiyo standard unit ya kubainisha wenye akili na wasio na akili, natumai nawe si mwehu kiwango cha Manara.
 
Kwa hiyo Yanga mnataka kum blackmail Rais Samia kwa upuuzi mliouanzisha wenyewe, Kwanza Samia hategemei kura za kwenye sanduku ili atangazwe kuwa ameshinda..
 
Watanzania tupunguze kuwa wapumbavu samahan kwa hloneno wapumbavu,mambo ya simba na yanga mnamtisha mpaka Rais et hamtompa kura labda wewe mleta mada na mabaunsa ndo msimpe ila wanayanga watampa na uta baki na upumbavu wako kwanza hata kadi ya mpga kura huna na kura yako syo iitakayo amua mshindi
 
KARIA , ULIPASWA KUANZA NA NENO SAMAHANI KWA WATANZANIA KWA KADHIA ILIYOTOKEA!
Kinga ya FIFA kwamba ukiguswa Tanzania tutafungiwa hii ni dhahiri unaitumia hiyo chanjo kwa maslahi yako mwenyewe na huna mapenzi na taifa la TANZANIA na hususani kundi la VIJANA ambao wengi ndio wana michezo! Naona tishio la usalama wa uchumi kupitia michezo uko hatiani kwasababu tu ya mtu mmoja!
Aangaliwe kwa jicho la tatu huyu mtu!
 
Huu ndio ule ujinga wa mashabiki wa yanga na simba tunaousema. Sasa Samia ndio alimteua Karia awe raisi wa TFF?
 
Huyo dawa yake ni kumfanyia tu upasuaji wa lazima na kuitoa ile minyoo yote iliyojazana kwenye lile tumbo lake. Baada ya hapo, ataacha kabisa huu ugaigai wake.
 
Upuuzi wa Karia mwachie Karia mwenyewe...ila linapokuja suala la Rais wetu basi Mhe. Dk. Samia tujue ni story nyingine. Tusiingize utani kuhusu Rais wa nchi. Uchaguzi wa TFF ukifika mtoeni huyo Karia na huku uchaguzi ukifika tunamrejesha tena kwa kishindo Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ