kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Tumeshuhudia Simba ikimgomea Karia udhamini wa GSM bila kufanya chochote, tumemsikia mwenyekiti wa Simba ngugu Mangungu akibwabwaja na kuibwatukia TFF bila Karia kuchukua hatua, tulimuona Barbara akiifyatukia TFF bila kuchukua hatua yoyote.
Ila wadau wa Yanga wakitenda jambo wanaambiwa wanabwabwaja na wanafungiwa na kulipishwa faini,
Kifupi ana walakini pia
Ila wadau wa Yanga wakitenda jambo wanaambiwa wanabwabwaja na wanafungiwa na kulipishwa faini,
Kifupi ana walakini pia