Karia ni mbaguzi wa wadau wa mpira

Karia ni mbaguzi wa wadau wa mpira

Karia anachanganya uraisi wa jamhuri ya muungano wa Tz na urais wa shirikisho la mpira, anahisi kuwa ana hadhi na mamlaka kama ya urais wa JMT
 
Taratibu hazikufuatwa na ndiyo Maana kwa simba Tff huwa wanaufyata . Simba ina wanasheria mahiri , Yanga ni mapoyoyo wanafanya mambo kipoyoyo bila kujua SHERIA ,TARATIBU na KANUNI (STK) zinatakaje.

Rejea kesi zote za utopolo ziwe kwa Tff au Cas hakuna kesi ambayo walishawahi kuishinda.
Itoshe tu kusema Yanga ni mazuzu hayajui kitu tofauti na uroporopo

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Simba ilimvua nguo Karia n TFF kwenye lile. Hata Mangungu aliibwatukia TFF na Karia na kumwambia Karia kuwa watahama ligi na kwenda Zambia na akatoa maneno mazito kuliko ya Haji. Ndugu dunia tunapita TU na Kuna maisha baada ya TFF na mpira
 
Ivi ukiacha awamu ya leo Tenga kuna awamu imejitahidi kupush mpira wa bongo kama ya msomali?
 
Hii awamu ya msomali ndiyo iliyoua mpira wetu Chali kabisa. Baada ya manji kuondoka Yanga timu ya Yanga ilikuwa na hali mbaya kifedha, wakati huohuo mo Dewej akajiunga na Simba na fedha zake. Karia kuona hivyo akapitisha sheria/kanuni ya TFF ya timu kuruhusiwa kusajili wachezaji 10 wa kigeni, kanuni ambayo ilikusudia kuinufaisha Simba kwakuwa walikuwa na nguvu ya fedha ya kusajili idadi kubwa ya wachezaji wa kigeni na kudhoofisha Yanga na timu nyingine ambazo hazikuwa na nguvu za kusajili idadi kama hiyo. Hali hiyo iliinufaisha Simba kwa misimu 4 kabla ya GSM, Azam media na wadhamini wengine kuzipatia timu uwezo wa kifedha wa kusajili na kuhudumia timu.

Idadi kubwa ya wachezaji wa kigeni ndio walioua mpira wetu kabisaa. Timu yetu ya taifa Ina wachezaji ambao ni marisevu Simba, Yanga na Azam na wale wanaotoka kwenye vitimu vidogo visivyo na makocha na miundombinu Bora.
 
Tumeshuhudia Simba ikimgomea Karia udhamini wa GSM bila kufanya chochote, tumemsikia mwenyekiti wa Simba ngugu Mangungu akibwabwaja na kuibwatukia TFF bila Karia kuchukua hatua, tulimuona Barbara akiifyatukia TFF bila kuchukua hatua yoyote.

Ila wadau wa Yanga wakitenda jambo wanaambiwa wanabwabwaja na wanafungiwa na kulipishwa faini,

Kifupi ana walakini pia
Mwisho wa Karia umefika rasmi
 
Simba ina watu weledi hawakurupuki,ukiona TFF wananyamaza ujue wanapiga mahesabu mbele kwamba kuna ushahidi Simba wanao wataumbuka.

Yule mwanamke wa TFF alimfugulia kesi Babra mwisho wa siku inaihusisha TFF maana ile sakata alichofanyiwa Babra ni uhuni unaohusisha TFF moja kwa moja, yule mama akafuta kesi mwenyewe.
Ukija ishu ya GSM kudhamini ligi Simba ilisema haikubali maana hawajashirikishwa ,kwa vile mkataba wa kimagumashi na ikaonekana GSM na TFF wanaumbuka basi GSM wakajitoa,ili ujue mkataba wa kimagumashi GSM wamejitoa ila bado kuna vilabu viliendelea kuvaa jezi zenye nembo za GSM hadi ligi inaisha wanatangaza tu bure bila kupewa mgawo walivyo mabumbu.
 
Maelezo yako yanapigilia msuri kuwa Karia ana shida ya uongozi, aliingia TFF kwa malengo binafsi. Hata hivyo hivyo kila anachofanya anahakikisha kuwa kinainufaisha Simba na kina nafuu kwa Simba, hata yule mama kafuta kesi kwa kushinikizwa.
 
Tumeshuhudia Simba ikimgomea Karia udhamini wa GSM bila kufanya chochote, tumemsikia mwenyekiti wa Simba ngugu Mangungu akibwabwaja na kuibwatukia TFF bila Karia kuchukua hatua, tulimuona Barbara akiifyatukia TFF bila kuchukua hatua yoyote.

Ila wadau wa Yanga wakitenda jambo wanaambiwa wanabwabwaja na wanafungiwa na kulipishwa faini,

Kifupi ana walakini pia
Jana nilifurahi sana kwa Msomali kupigwa 1 bila.
 
Ni aibu kubwa, watanzania wanashuhudia ligi ya wageni (mayele, sakho, makambo, kanoute, bangala, akpan, nk) ndani ya nchi yao. Ona uzuzu wa Karia safari kuruhusu timu kusajili wachezaji 12 na wanaruhusiwa kucheza wote kwa wakati mmoja. Hebu fikiria timu na TFF wanafurahia na kukenua kwa goli bora la Sakho.

Serikali sioni kwanini inakubaliana na Karia kwenye hili la wachezaji 12 wa kigeni ambao wanawaweka benchi akina Ambundo, Nkane, Shaibu, Mhilu, Evans, etc ambao ndio tegemeo letu zikifika mechi za taifa stars. Binafsi sioni kwanini timu ya taifa iliyocheza jana haina watu kama Kenedy Juma, Ambundo, Nkane.
 
Jana nilifurahi sana kwa Msomali kupigwa 1 bila.
Wachezaji kama Mohamed Hussein, mzamiru, shaibu, Bocco, Mkude, Kapombe tayari mpira umeanza kuwaacha mkono. Wametumika sana kwenye timu zao hivyo wana makovu mengi miguuni, na umri wao hawatoshi kucheza national team kama first eleven. Hata simba simba kama msimu huu watafanya vibaya pia itakuwa kwasababu ya kuwategeme Shabalala, kapombe, mkude, mzamiru kwenye mipango yao.
 
Maelezo yako yanapigilia msuri kuwa Karia ana shida ya uongozi, aliingia TFF kwa malengo binafsi. Hata hivyo hivyo kila anachofanya anahakikisha kuwa kinainufaisha Simba na kina nafuu kwa Simba, hata yule mama kafuta kesi kwa kushinikizwa.
Karia ana matatizo lakini ananufaisha vipi Simba ? Mbona huzungumzii ule mkataba wa udhamini wa gsm waloosaini uchochoroni Simba wakakataa baada ya kuona kanuni hazijafuatwa ,na TFF wakapiga kimya wakaona wakiadhibu Simba wakakata rufaa CAF na FIFA inaweza kula kwao,Simba hawapendelewi ila wanajiamini maana wapo sahihi,labda ile ya Magungu ndo ilistahili adhabu, TFF ni hovyo ndo maana ile mechi ya Simba na Yanga kukimbiana uwanjani hawajatoa adhabu na wao ndo waliochemka
 
TFF ndio mama wa mpira wetu nchini, huwezi kumchagulia mume mama yako. Kama TFF ameona GMS ni mdhamini sahihi kanuni inamruhusu kuona hivyo.
 
ni mkataba wa kihuni, na Simba walikuwa sahihi ndo maana waligoma na hawajafanywa kitu wangewaumbua TFF ,wamegoma na gsm akajitoa,kama TFF ni mama wa mpira ingewaadhibu Simba ,ila walishindwa maana Simba walisimama kwenye ukweli na TFF ikaogopa kuwafanyia lolote
 
Kwa TFF Simba ikikwaruzana na yeyote lazima Simba itashinda hiyo kesi. Tuliona kwa Morrison na Yanga, tuliona kwa Mhilu na Kagera, tuliona kwa Simba na GSM, tuliona Barbara na TFF, tuliona swala la viporo vingi, tuliona sakata la vitochi uwanjani ambavyo wapinzani walimulikwa mwanga usoni bila TFF kukemea unsporting behavours, tumeona rafu za Inonga kwa wachezaji wa Yanga, nknknknknk
 
huwezi kuelewa sababu za ushabiki, kwahiyo siwezi kupoteza mda na shabiki oya oya.
 
ni mkataba wa kihuni, na Simba walikuwa sahihi ndo maana waligoma na hawajafanywa kitu wangewaumbua TFF ,wamegoma na gsm akajitoa,kama TFF ni mama wa mpira ingewaadhibu Simba ,ila walishindwa maana Simba walisimama kwenye ukweli na TFF ikaogopa kuwafanyia lolote
kama mkataba ni wa kihuni dawa yake haikuwa kuigomea mamlaka halali ya TFF, bali simba wangetumia njia za sheria na taratibu kwenye ngazi rasmi za kulalamika na kutafuta haki kuliko vile walivyofanya. Hata kama baba yako anafanya kitu ambacho sio sawa kwako dawa sio kugomea bali kwenda kwa babu, shangazi au baba mdogo kulalamika.
 
huwezi kuelewa sababu za ushabiki, kwahiyo siwezi kupoteza mda na shabiki oya oya.
huna cha kusema kinachoeleweka, uko upande wao, lakini kaka hakuna kiongozi wa mpira atadumu milele kuliko mpira wenyewe. Siku zote na mara zote Mungu huwa anasimama upande wa anaeonewa kidhamira.
 
Back
Top Bottom