Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Yanga hawajaonewa? Wamefanyiwa nini zaidi ya kuingilia ishu ya Manara ? Ile ni makosa ya Manara na siyo ya timuhuna cha kusema kinachoeleweka, uko upande wao, lakini kaka hakuna kiongozi wa mpira atadumu milele kuliko mpira wenyewe. Siku zote na mara zote Mungu huwa anasimama upande wa anaeonewa kidhamira.