Simba haihitaji kutafutiwa wadhamini feki mbona nyinyi mnagoma kuvaa logo za mdhamini kama rangi ni nyekundu au Kuna TFF mbili tofauti zinazoendesha ligiTFF ndiye mwenye haki ya kutafuta wadhamini wa ligi lakini kwa Simba wameufyata,
Karia alisema waandishi wa habari wamegawana upande/timu waziwazi, lakini hata yeye hajapona kwenye dhambi hiyo, siku ya mechi ya final ya kombe la FA kati ya coastal Union na Yanga alionekana waziwazi furaha yake ililalia upande gani.Nilikua sijui kumbe hata humu kuna wapuuzi wengi tu waliojaa utoto mwingi na kuto kujaji mambo kulingana na uhalisia wake.
Hivi kwa mwenye akili kosa la manara ni la kumkingia kifua kweli!!!?
acheni uzombi wakuda nyie.
JF skuiz imekua kama facebook tuu. Watoto wengi bora shule zifungue tuu.
Jifunzeni kuwatii wenye mamlaka maanina zenu
Kwani sheria zinasemaje?Karia alisema waandishi wa habari wamegawana upande/timu waziwazi, lakini hata yeye hajapona kwenye dhambi hiyo, siku ya mechi ya final ya kombe la FA kati ya coastal Union na Yanga alionekana waziwazi furaha yake ililalia upande gani.
Lakini kosa la Manara ni dogo sana kuliko timu kugomea udhamini wa TFF kupitia GSM. Adhabu ya kosa hilo ni kubwa sana lakini hakuna hata kunyoosheana vidole kwenye lile, Simba kubakishiwa viporo 11 liliwezelani kwa Karia TU. Lakini, kosa la Manara mbona hatuambiwi alichokisema na sababu ya kukisema?
Karia alisema waandishi wa habari wamegawana upande/timu waziwazi, lakini hata yeye hajapona kwenye dhambi hiyo, siku ya mechi ya final ya kombe la FA kati ya coastal Union na Yanga alionekana waziwazi furaha yake ililalia upande gani.
Lakini kosa la Manara ni dogo sana kuliko timu kugomea udhamini wa TFF kupitia GSM. Adhabu ya kosa hilo ni kubwa sana lakini hakuna hata kunyoosheana vidole kwenye lile, Simba kubakishiwa viporo 11 liliwezelani kwa Karia TU. Lakini, kosa la Manara mbona hatuambiwi alichokisema na sababu ya kukisema?
Kujamba ajambe Yanga, akijamba Simba wanasema Kanya!!Simba haihitaji kutafutiwa wadhamini feki mbona nyinyi mnagoma kuvaa logo za mdhamini kama rangi ni nyekundu au Kuna TFF mbili tofauti zinazoendesha ligi
Tumeshuhudia Simba ikimgomea Karia udhamini wa GSM bila kufanya chochote, tumemsikia mwenyekiti wa Simba ngugu Mangungu akibwabwaja na kuibwatukia TFF bila Karia kuchukua hatua, tulimuona Barbara akiifyatukia TFF bila kuchukua hatua yoyote.
Ila wadau wa Yanga wakitenda jambo wanaambiwa wanabwabwaja na wanafungiwa na kulipishwa faini,
Kifupi ana walakini pia
Mhhh! Kama siyo mmoja wa wale wajumbe wa ile kamati ya Karia, sijui! Siyo kwa hili povu.Nilikua sijui kumbe hata humu kuna wapuuzi wengi tu waliojaa utoto mwingi na kuto kujaji mambo kulingana na uhalisia wake.
Hivi kwa mwenye akili kosa la manara ni la kumkingia kifua kweli!!!?
acheni uzombi wakuda nyie.
JF skuiz imekua kama facebook tuu. Watoto wengi bora shule zifungue tuu.
Jifunzeni kuwatii wenye mamlaka maanina zenu
Halafu unatakiwa utofautishe kati ya neno rais na Rais. Wallace Karia ni rais!! Na siyo Rais. Halafu umshauri pia na yeye ajitahidi kujiheshimu, aachane na mihemko ya kijinga, na piaa Aachane na ushabiki maandazi.Kwahyo manara kwenda kumzonga Raisi pale chini ni tatzo dogo lile!!!?
aaasalaaaaaleeeeee!!!!!🤔🤔
Simba kugomea mdhamini lilikua ni suala la kimkataba. Waliweka sababu zao za kugomea na zikawa na mashiko. Hapakua na utomvu wa nidhamu kama wa manara.
Tujifunze kujajo mambo kulingana na uhalisia wake. Sio kuendeshwa na ushabiki
Halafu unatakiwa utofautishe kati ya neno rais na Rais. Wallace Karia ni rais!! Na siyo Rais. Halafu umshauri pia na yeye ajitahidi kujiheshimu, aachane na mihemko ya kijinga, na piaa Aachane na ushabiki maandazi.
Mfano kwenye ile mechi ya fainali angekuja kama rais wa TFF, ule mzozo na mjinga mwenzake Haji Manara usingetokea!
Badala yake aliingia uwanajani kama shabiki wa simba, na pia kama mwananchama wa Coastal Union. Hapa ndipo kwenye chanzo cha malumbano yao.
Hivi nikuulize kitu; angekuwa rais wa TFF ni Leodgar Tenga, ungetegemea kutokea tukio la kutupiana maneno kati ya Haji Manara na Leodgar Chilla Tenga? Mwisho wa siku kama umenielewa, basi utakubaliana na mimi ya kwamba Wallace Karia na Haji Manara, kwa pamoja hawana busara.
Hakuna Mwanayanga mwenye akili timamu atafungamana na Haji Manara kwenye kila kitu. Mfano kwenye hii adhabu, baadhi hatujafurahishwa na adhabu yake kwa sababu imetolewa kwa mihemko!Ajabu ni kuwa wana Yanga wote mko upande wa Haji Manara asiyekuwa na busara na mko pamoja naye hata kwenye maujinga ujinga yake na mko tayari kuandamana kwenda Ikulu kumuona Rais ili Haji afunguliwe,watu wa ajabu sana nyie.
Tulisha ambiwa kuwa, Mwana Yanga, hata awe na akili kwa kiasi gani, awe msomi na mweledi kwa kiasi gani, linapokuja suala la YANGA YAKE, wote hao wanakuwa HAMNAZO! Toka yule jamaa aseme hayo, nimekuwa nikipima yasemwayo na hawa ndugu zetu, yule jamaa, yupo sahihi100%.Ajabu ni kuwa wana Yanga wote mko upande wa Haji Manara asiyekuwa na busara na mko pamoja naye hata kwenye maujinga ujinga yake na mko tayari kuandamana kwenda Ikulu kumuona Rais ili Haji afunguliwe,watu wa ajabu sana nyie.