Karia ni mbaguzi wa wadau wa mpira

Kuweni makini sana, unaweza jikuta unamsapoti mjinga bila kujua, malalamiko kuhusu Karia yote ni ujinga mtupu.
Hebu niambie Mimi na wengine humu, Manara ameivunja kanuni gani ya TFF inayotoa adhabu ya vile? Yaani ukichunguza adhabu Ile ni cumulative. Imekusanya vionjo viingi ambavyo vimewekwa pamoja na kufunikwa shuka moja TU la Manara kazozana na Karia.

Adhabu Ile imelipia na wengine kama Barbara, mo, coastal Union na hata Simba yenyewe. Lakini Karia na Manara ni watu wadogo sana kuliko mpira wetu na Tanzania. Watanzania wanataka mpira wao uchezwe wafurahi na wengine wapate kipato. Utani wa Simba na Yanga ndio mpira wenyewe wa Tanzania, hivyo yeyote atakaeikosea kwa makusudi au kwa bahati mbaya Simba na Yanga atakuwa amekusudia kuukosea mpira wa Tanzania. Atakuwa ameonheza maadui zake kila Kona hata uvunguni mwa kitanda chake.
 

Na huu ndiyo ukweli wenyewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakufa kwa pressure wallah, vimbaaa hadi upasukeeee, Karia bado yupo sanaaaaa.
 
Simba haihitaji kutafutiwa wadhamini feki mbona nyinyi mnagoma kuvaa logo za mdhamini kama rangi ni nyekundu au Kuna TFF mbili tofauti zinazoendesha ligi
Kukataa kuvaa rangi ya logo sio sawa na kukataa udhamini wa TFF. Rangi ya logo inaweza kubadilishwa hata Ulaya wanafanya hivyo, lakini kukataa udhamini ambao TFF ameutafuta, kuukubaki na kufunga mkataba ni kosa la kikanuni ambalo Lina adhabu kubwa ambayo hata hivyo haikutolewa Wala kujadiliwa na TFF. Hii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakufa kwa pressure wallah, vimbaaa hadi upasukeeee, Karia bado yupo sanaaaaa.
Karia waziwazi kasema alikuwa na hasira na viongozi wa TFF waliomtangulia kabla yake, hivyo analipa kisasi.
 
Nitajie nchi moja ya ulaya iliyofanya hivyi
 
Karia waziwazi kasema alikuwa na hasira na viongozi wa TFF waliomtangulia kabla yake, hivyo analipa kisasi.
Mtajua nyie huko huko, halituhusu sie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikikumbuka kipindi Cha malinzi Simba walivokua wanadalilishwa na kuminywa live[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]leo Yanga wa kulalamika hivi kweliii!
Kuimba kupokezana ndugu zetu,mtumie hvyo hvyoo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika ukiwa umevimbiwa makande
 
TFF ndiye mwenye haki ya kutafuta wadhamini wa ligi lakini kwa Simba wameufyata,
Taratibu hazikufuatwa na ndiyo Maana kwa simba Tff huwa wanaufyata . Simba ina wanasheria mahiri , Yanga ni mapoyoyo wanafanya mambo kipoyoyo bila kujua SHERIA ,TARATIBU na KANUNI (STK) zinatakaje.

Rejea kesi zote za utopolo ziwe kwa Tff au Cas hakuna kesi ambayo walishawahi kuishinda.
Itoshe tu kusema Yanga ni mazuzu hayajui kitu tofauti na uroporopo

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Yaani utopolo buana, kwa hiyo sababu manara kafungiwa ndo woootee hamumpendi Karia?

Karia aendelee kupiga spana, hayo mambo ya kusema sijui kiongozi hatakiwi kuwajibu watu ni ujinga, kariaaa piga spanaa mpaka mwiko kule nyuma uwatoke.
 
Nitajie nchi moja ya ulaya iliyofanya hivyi
Liverpool FC inadhaminiwa na Bank ya standard chartered (SCB), logo ya SCB ni blue na kijani lakini Liverpool wakavaa logo hiyo ikiwa nyeupe kabisa.
 
Mpira unazo njia zake sio visasi.
 
Yaani utopolo buana, kwa hiyo sababu manara kafungiwa ndo woootee hamumpendi Karia?

Karia aendelee kupiga spana, hayo mambo ya kusema sijui kiongozi hatakiwi kuwajibu watu ni ujinga, kariaaa piga spanaa mpaka mwiko kule nyuma uwatoke.
Manara awepo au asiwepo Yanga itakuwepo TU, tunachotetea hapa ni kupinga matumizi mabaya ya office na double standards.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…