Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa?

Masaa 72 yalishamalizika huo utoto wa kudai hela na points za bure mmeshaachana nao au bado mnadai?

"Kama watu wamechoka kucheza mpira basi wakaendelee na Sinema zao."

Mko episode ya ngapi sasa?
Bila hata izo point, hata mechi ikipangwa siku nyingine yanga atashidna tu, kwa sasa simba hamna timu ya kumpa upinzani yanga
 
Timu inakuwa imesusia mechi pale kunapokuwa na mechi na yenyewe haijaenda uwanjani ambapo marefa na masafisa wengine na timu pinzani wapo uwanjani.
 
Safi sana. Kwa kuliona hili.
 
Bila hata izo point, hata mechi ikipangwa siku nyingine yanga atashidna tu, kwa sasa simba hamna timu ya kumpa upinzani yanga
Nimeuliza mpo episode ya ngapi katika sinema yenu ya kuipa bodi masaa 72 na hujajibu..

Au wewe sio utopwinyo?
 
Ameanza kulewa madaraka!

Sijui kwanini viongozi wa FAT/ TFF baada ya muda wakishajuana na FIFA/CAF hudhani wao ni alpha na Omega! Namkumbuka Ndolanga, Malinzi, Kaduguda!

Ipo wazi,mechi ya derby itapangwa,Yanga wakigomea watakatwa points,na bodi ya ligi hawawezi kufanywa kitu kwa matamko ya wanywa gongo wa jangwani

Kama watu wamechoka kucheza mpira basi wakaendelee na Sinema zao.
Kwani mpira wa miguu ni Mali yake?
 
Hii ni aibu kwa rais wa chama cha soka kutoa kauli kama hii
Ukishangaa ya rais utakutana na ya uongozi wa utopwinyo kuipa masaa 72 bodi ya ligi iyafanyie kazi madai yao ya kupewa ushindi wa mezani na mkwanja juu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wskiambiwa "Kama mmechoka kucheza mpira basi mkaendelee na Sinema zenu". Fans wa utopwinyo povu jingi linawatoka ilhali ndio waigizaji nguli
 
Sababu moja ya kijinga sana!
 
Ndio mbinu mliyotumia kukimbia mechi.
Mngekuwa mnaitaka mechi kama mnavyodai sasa hivi, mngetoa ushirikiano kwa Simba kwa jinsi kanuni inavyoruhusu.

Kujificha kwenye kichaka cha Simba kukimbia mechi hakutawasaidia sana mbele ya safari.

Hata ishu ya mazoezi ya Simba isingejitokeza, changamoto ya usalama ilikuwa kubwa sana katika ile mechi.
 
Mimi nikajua unazo timamu kumbe saa mbovu.

Yanga ndio mlalamikaji kwahiyo anahaki ya kuandika yote yale yaliyoandikwa. Simba na bodi yake wameenda kinyume na kanuni na taratibu kwa kuikosea Yanga. Hivyo Yanga anapaswa kudai alama 3
 
Sikutegemea kama huyu ana weza zungmza ujinga kiasi hiki

YESU KRISTO amponye atubu kwa manufaa ya nchi
Ujinga au ukweli? Yale yanayofanywa na kina HERSI,Arafat na Kamwe wewe huoni kama ni utoto na ujinga?
 
Changamoto gani ya usalama acha sababu. Mlitafuta tu sababu ya kukimbia mechi nyie
 
Ujinga au ukweli? Yale yanayofanywa na kina HERSI,Arafat na Kamwe wewe huoni kama ni utoto na ujinga?
Hao watu wanafanya mambo gani? Naomba niambie hata kama ushahidi wa picha au video upo leta. Ila hata kwa kuniambia itapendeza pia.

Naomba kufahamishwa hapo.
 
Uto mmeambiwa Acheni utoto la sivyo mkaendeleze sinema zenu
 
Haki gani Acheni upumbavu..nyie mna makando kando mengi tena ya kipumbavu na viongozi wa hovyo hovyo tu
 
Akili za viongozi wa Kitanzania...
 
Ameanza kulewa madaraka!

Sijui kwanini viongozi wa FAT/ TFF baada ya muda wakishajuana na FIFA/CAF hudhani wao ni alpha na Omega! Namkumbuka Ndolanga, Malinzi na kaduguda!
Chagua kutuliza bolu au makomando watumwe kuivunja bodi yaligi pale TFF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…