Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,284
- 3,626
Akili mbovu ni wewe mwenyewe na utopwinyo wote wanaodhani kuwa bodi ya ligi mwaweza kuipangia majukumu...Mimi nikajua unazo timamu kumbe saa mbovu.
Utoto katika mpiraHao watu wanafanya mambo gani?
Maajabu ya soka la tanzania!
Simba wameandika barua masaa matano tu kikao kimeitishwa kujadili swala lao!
Ila barua ya yanga Leo siku ya nane haijatolewa majibu! Hiyo tu inatosha kujua nani anabebwa.
Zingekuwa imara point zetu tatu na goli zetu tatu tungesha kabodhiwa.Ila kiukweli utopolo viongoz wao na wanachama wqnajionq wao ni kama wao wanaweza fanya lolote nchi hii, na wameota mapembe sasa, kwa maamuzi hayo ya tff watajua Mamlaka zipo imara
Tarehe 27/3 mpaka 2/4 pana siku ngapi hapo. Huja safiri na kupata muda wa mazoezi? Hii uilinganishe na mfano nilikutolea hapo juu?Unajua kwamba siyo TFF inayopanga ratiba ya ligi?
Yanga mnapenda kupetiwapetiwa, mnapenda mcheze mechi moja kwa wiki kwa kisingizio cha mechi za kimataifa ambapo huko napo hamna cha maana mnafanya.
Ona ratiba ya Simba ya mwezi huu, inacheza tarehe 27/03 wakati wachezaji wasiopungua 9 wanakosekana kwa majukumu ya timu zao za taifa na wakati huo huo chini ya wiki moja tarehe 2/04 anatakiwa acheze mechi ya ugenini na Al Masry. Ingekuwa nyie mngelalamika.
Wanasema ni TISS aliyekuwa akifanyia majukumu yake Halmashauri ndani ya mkoa " mji kasoro bahari"Kabla ya kuwa rais wa TFF, huyu Karia alikuwa anafanya shughuli gani. Background yake inaweza kutufanya tumwelewe vizuri.
Swali hili linamuhusu zaidi KARAI, akaulizwe yeye.Nimeuliza mpo episode ya ngapi katika sinema yenu ya kuipa bodi masaa 72 na hujajibu..
Au wewe sio utopwinyo?
Akiwa MG alikuwa ni mwanasheria, accontant au alikuwa yupo yupo tu?Wanasema ni TISS aliyekuwa akifanyia majukumu yake Halmashauri ndani ya mkoa " mji kasoro bahari"
Sijajua.Acha nifatilieAkiwa MG alikuwa ni mwanasheria, accontant au alikuwa yupo yupo tu?
DED Mvomero na alishawahi kua Mweka Hazina Halmashauri ya Manyara.Akiwa MG alikuwa ni mwanasheria, accontant au alikuwa yupo yupo tu?
Asante;.DED Mvomero na alishawahi kua Mweka Hazina Halmashauri ya Manyara.
Simba walienda kufanya mazoezi kama kanuni inavyotaka kwa timu ngeni, muda ambao mechi itachezwa. Wakazuiwa kufanya mazoezi na kufanyiwa fujo.Simba waliandaa sinema ili kukimbia mechi, izo zingine ni blah blah tu.
Hayo masaa 72 waliyoyatoa ndiyo sinema yenyewe...YANGA hawajatoka hadharani kusema kuwa wana sinema.
Ungeanza kwanza kumwelewa Hersi kabla hajawa rais wa Yanga alikuwa na shughuli gani then uhamie kwa KariaKabla ya kuwa rais wa TFF, huyu Karia alikuwa anafanya shughuli gani. Background yake inaweza kutufanya tumwelewe vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23]SPEED
Mtu mwenye busara angenyamaza ila hapo kakosea zaidi.
Teja la Mangungu ndio maana mnaendeshwa endeshwa kwa akili kama hizi. Mimi naipangiaje majukumu bodi na wakati Yanga ndio ina insist kufuatwa kanuni. Hivi unaelewa hata kinachoendelea au unabisha bisha tuAkili mbovu ni wewe mwenyewe na utopwinyo wote wanaodhani kuwa bodi ya ligi mwaweza kuipangia majukumu...
"Kama mmechoka kucheza mpira basi mkaendelee na Sinema zenu
Useme sasa huo utotoUtoto katika mpira