Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa?

Hapo kipga kwenye mshono wa chura FC.
Eti bodi ya ligi ivunjwe.
Ila karia ni takataka ngoma ikivuma sana lazima ipasuke tu.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Teja mwenyewe! na kwa uteja wako unashiriki kucheza sinema ya hao wahuni wasiojua kanuni zilivyo.

"Kama mmechoka kucheza mpira basi mkaendelee na Sinema zenu".
Teja la Mangungu ndio maana mnaendeshwa endeshwa kwa akili kama hizi. Mimi naipangiaje majukumu bodi na wakati Yanga ndio ina insist kufuatwa kanuni. Hivi unaelewa hata kinachoendelea au unabisha bisha tu
 
Watoto wakifanya matukio ya ovyo au kuichafua familia Baba anakaa kimya kwa sababu, na yeye siku akifanya madudu/matukio ya ovyo. Asiulizwe haaa.
 
Maelezo yako yamejaa mawazo ya kihisia na wala siyo yenye uhalisia.
 
Mnataka muongee nyie tu. Yoyote mwingine anayeongea anakosea na anatakiwa akae kimya.

Kumsagia kunguni Karia hakutaisafisha Yanga na madhaifu ya uongozi wao.

Haya ongeeni, mkichoka na nyie mnyamaze.
 
Ameanza kulewa madaraka!

Sijui kwanini viongozi wa FAT/ TFF baada ya muda wakishajuana na FIFA/CAF hudhani wao ni alpha na Omega! Namkumbuka Ndolanga, Malinzi, Kaduguda!
Kubebana kunaongezwa na takrima
 
Hayo
Hahahah karia katupa jiwe gizan kwa utopolo wazee wa maigizo
Hayo ndiyo yanadhihirisha pale wazee wasimba walipo fungwa na yanga walititisha kikao cha wazee wasimba na kumlaumkaria kuwa tumemsaidia kuingia pale tifutifu lakini yy hatusaidiiwanaayanga amkeni karia kaanza kuwasadia rasmi sasa simba
 
Hayo

Hayo ndiyo yanadhihirisha pale wazee wasimba walipo fungwa na yanga walititisha kikao cha wazee wasimba na kumlaumkaria kuwa tumemsaidia kuingia pale tifutifu lakini yy hatusaidiiwanaayanga amkeni karia kaanza kuwasadia rasmi sasa simba
Huu ndio mwandiko halisi wa 🐸🐸

Rudi shule ukajifunze namna ya kupangilia mwandiko wako chura wahed
 
NI USHAMBA KUSEMA TIMU IMESUSIQ MECHI WAKATI MDA WA MECHI HAUJAFIKA.

PILI SIMBA AWEZI KUWA NA KOSA LOLOTE KATIKA KESI HII SABABU MECHI HUSIKA ILIAHIRISHWA NA MAMLAKA.

UTOPOLO WAZEE WA VITONGA SKILIZENI HAKUNA POINT ZA BURE ,SUBIRINI TAREHE YA MECHI MJE MTAFUTE POINT KWA JASHO NA DAMU.
 
Sasa kwa kikosi cha yanga imwogope simba kwa lipi?
Kikosi hiki kilichotolewa CAF hatua za awali kabisa, kilichofungwa na Tabora, kikafungwa na Azam na kutoka sare na jkt au kikosi kipi cha yanga unachozungumzia??
 
Hili jamaa akili zake nyingi zipo tumboni. Halafu lina unazi wa kijinga sana.
 
Karia.atawakomesha mwaka.huu mmekua na viburi na dharau..by the way this is Simba..lazima mteme nyongo mwaka huu..jino kwa jino. Kama hamtaki kucheza Mpira mkacheze sinema
 
Kikosi hiki kilichotolewa CAF hatua za awali kabisa, kilichofungwa na Tabora, kikafungwa na Azam na kutoka sare na jkt au kikosi kipi cha yanga unachozungumzia??
Hawana timu ya kuifunga Simba. Huo ndio ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…