Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Simba mzee kagua profile yangu uone michango yangu ya miaka nyuma utaona.
Napenda haki. Sio penati lakini wasiojua mpira wanamtukana refa wa kati....kwa lile tukio aliyekua kwenye position ya kuona vema ni linesman. Linesman ndiye wa kulaumiwa.
Sasa hapo kosa la simba au refaree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom