Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Inashangaza sana kila kitu kukopi kwa mkoloni.
Kwani ile phrase yetu ya enzi na enzi ' watani wa jadi' walihisi imepitwa na wakati!?

Haya mimi sitaki kuwa mfuata mkumbo kuongea au kurukia vitu nsivyovielewa. Nielewesheni Kariakoo Derby maana yake nini hasa...na kwanini!??

Wewe utakuwa shabiki wa Yanga tu...hebu tulia dawa ikuingie💉💉
 
Sijashangaa kuona Tanzania ingawa imefuzu CHAN 2020, lakini haijatoa hata mwamuzi mmoja wa kuchezesha hayo mashindano.

CAF wana akili sana. Wanatambua fika waamuzi wa Tanzania hawana umakini wawapo uwanjani. Haiwezekani mchezaji hayupo offside, mshika kibendera ananyoosha kibendera! Mchezaji kasukumwa nje ya 18, mwamuzi anaweka tuta.

Mchezaji anajiangusha uwanjani, hajaguswa na mtu na mpira uko kwenye goli lake, refa anapiga filimbi. Ujinga mtupu. Ningekua naishi Kagera, ningempiga mimba huyu mwamuzi.
 
Back
Top Bottom