Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Lalamikeni lakini sisi hatupo huko muda mrefu tulishahama tunasubiri second half tuwaongeze viwili mlale na "fiatu fyenyu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzako wamekudanganya na wewe umebeba Kama ilivyo unaleta hapaView attachment 1312336aibu yako refaa hapa ni nje kabisa
Mapumnziko.kipindi cha ngapi sasa, sina tv ya azam... dstv hamna
Refa kawapendelea yanga ilikua red na adhabu ndogoView attachment 1312336aibu yako refaa hapa ni nje kabisa
Inashangaza sana kila kitu kukopi kwa mkoloni.
Kwani ile phrase yetu ya enzi na enzi ' watani wa jadi' walihisi imepitwa na wakati!?
Haya mimi sitaki kuwa mfuata mkumbo kuongea au kurukia vitu nsivyovielewa. Nielewesheni Kariakoo Derby maana yake nini hasa...na kwanini!??
Hii picha ya mwaka jana huyo ni yondani, usipotoshe ummaView attachment 1312336aibu yako refaa hapa ni nje kabisa
My love embu tulia baasi.Sema wewe akisema mwingine itaonekana ushabiki
Ile ni Penalty na zile mbinu zipo Kagere alifanikiwa Kumdanganya refa..Naye refa amedanganyika na Sisi tushashinda na jingine hilo
Mimi siyo Simba siyo Yanga lakini tangu awali nilisema Rukyaa hana uwezo wa kuamua mechi ya Simba na Yanga, na hajawahi kuwa mwamuzi sahihi wa Derby
gooooooooalSemeni tena