Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Tff mjipange! , Leo wengi tumeshindwa kuingia uwanjani tumekuja kwenye mabaa.. Yaani inaumiza unakuja hadi huku halafu unaishia nje! Nimekasirika Sina tu jinsi

Sent using Jamii Forums mobile app
Goli la kagere limewauma sana hadi imefikia hatua sasa mpaka tff wanalaumiwa?
 
Lakini VAR nayo si imeonesha penart. Kwa mazingira yale mi siwezi mlaumu refa, ndio maana wenzetu wameweka VAR. Ile kama ile faulo ya liverpool siku ile ya fainari. Mi namlaumu lines man ile offside ndio kachapia kinoma. Ila refa anajitahidi.
Offside ile nayo ya Nchimbi nayo mwamuzi huwezi mlaumu?Wakati Nchimbi hakuwa offside.

Ndio timu yetu haikucheza mpira mzuri lakini refa katunyonga mara mbili.
 
Jamani tuko hapa tunamfungashia Salma vilago vyake kabisaaa mechi ikiisha Kagere aje kumchukua tu mrembo wake bila mahali.
 
Of course, marefa ni watu, kukosea ni inevitable. Nachojaribu ni kueleza tu ndugu!
Natamani tuwabalalue Ndala FC lakini magoli yasiyo na utata wasipate cha kuongea.
Nimekupata ndugu...😂😂
 
Back
Top Bottom