Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Mbona umekasirika,nimeongea nilichokiona na ninachokijua.
🤣🤣🤣
Hapana mi nachoshanga mi nimemlaumu refa ile offside siyo nawe pia umemlaumu refa. Ila unanilaumu mimi kuhusu offside ndipo hpo sikuelewi?
 
Mbona mnamlaumu Refa mngetupia magoli tujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sajili za hawa watu wa kujimwambafai Ni za kuzuia wachezaji wasicheze YANGA na si zaidi ya hilo

Pamoja na hayo ipo shida sana upande wa Golikipa Manula; honestly sijawahi kumpa umuhim wala kumkubali juu ya uchezaji wake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Are you sure ilienda na matokeo au kilichotokea ni sehemu ya mchezo?
.
Tofautisha maneno yetu sisi mashabikk na wachezaji sijasikia mahali wachezaji wakisema wameshashinda zaidi ya kwenda kuipambania club
Nimegundua una uelewa mdogo sana, sasa hapo umejuaje kama hazungumzii mashabiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…