Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Liwe funzo kwa simba kupenda kwenda na matokeo mfukoni.
Are you sure ilienda na matokeo au kilichotokea ni sehemu ya mchezo?
.
Tofautisha maneno yetu sisi mashabikk na wachezaji sijasikia mahali wachezaji wakisema wameshashinda zaidi ya kwenda kuipambania club
 
Mimi simba lakini leo nimejikuta nikishangilia magoli matatu kwani tumeshinda ngapi ? mbona kama sielewi hivi.
 
Simba ni wepesi sana mbila mbeleko

Ni kama tu ccm bila police

Sent using Jamii Forums mobile app
Offside hiyo mmeiona vyura?
IMG_20200104_192318.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom