Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Hatuzungumzii Uyanga wala Usimba;


Sent from my iPhone using JamiiForums
mkuu huyo mpumbavu na kiongozi wa mambumbu wa simba, pamoja na mama yao jonesia kuwapa penati ila bado ameumia. john heche mtu anayejitambua kasema ukweli
 
Bila ushabiki kwa VAR au marefa wenye viwango goli la pili la yanga ni offside
Nashangaa ni wewe tu ndio umesema, ukweli penati haikuwa halali maana faulo ilifanyika nje ya box na pia goli LA yanga la pili ni clear offside
 
Kalete wewe unaelilia ushahidi
GIF zipo Telegram tunazitumia sanaaa.
Nenda Azam tv Facebook washaweka tayari ulete ukiona clip haikupi support edit kabisa
Nipo busy na hizi
1578159272190.gif
 
Wiki moja kabla ya mchezo wa leo Yanga waliitwa underdogs kuwa hawana chochote wala lolote.

Licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na Simba leo wamepata aibu/ majibu yao kuwa Yanga ni muziki mwingine na sio timu ya kubezwa.

Aliyewaangusha katika mchezo wa leo ni kipa Manula. Mpira unapigwa mita 30 kutoka golini lakini anashindwa kuuzuia.

Tafuteni kipa mrefu huyo mliye naye anawaangusha. Mtambue leo kuwa Yanga ni muziki mwingine sio kama mnavyofikiria.

Hongera sana kocha Charles Boniface Mkwasa Master.
Adeyun akimtafuta sana masanula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Offside ya Nchimbi wakati hakuwa offside

- Penati ya Simba SC wakati foul imefanyika nje ya 18.

Hili ni pambano kubwa nchini, na ni miongoni mwa mapambano matatu makubwa na yenye uhasama barani Afrika lakini bado waamuzi wanafanya maamuzi mabovu!

SOKA LA BONGO NA UBONGO WAKE!

Nchimbi alifunga ?
 
eti uwekezaji wa bil20 kumbe kazi yao kubwa ni kununua mechi, bila kumhonga refa au kununua mechi hakuna ushindi, pumbafu zao........
 
Back
Top Bottom