Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Nadhani hakuna, kulitakiwa kuwe na kitufe cha kurecord voice note tupige kelele haswa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mohamed Issa "Banka" hatari sana.
mkuu huyo mpumbavu na kiongozi wa mambumbu wa simba, pamoja na mama yao jonesia kuwapa penati ila bado ameumia. john heche mtu anayejitambua kasema ukweliHatuzungumzii Uyanga wala Usimba;
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani wote kimyaaaa.umeona mkuu kutangulia si kufika
Nashangaa ni wewe tu ndio umesema, ukweli penati haikuwa halali maana faulo ilifanyika nje ya box na pia goli LA yanga la pili ni clear offsideBila ushabiki kwa VAR au marefa wenye viwango goli la pili la yanga ni offside
Nipo busy na hiziGIF zipo Telegram tunazitumia sanaaa.
Nenda Azam tv Facebook washaweka tayari ulete ukiona clip haikupi support edit kabisa
Hapo ndipo Matola na Sven walipochemka kabisa, unaachaje kumuweka Fraga hata sub, je kama Mkude angeumia.atamuongeza nani wakati fraga na shiboub hatabsub hawakuwepo mkude alipotea
Sent using Jamii Forums mobile app
Adeyun akimtafuta sana masanulaWiki moja kabla ya mchezo wa leo Yanga waliitwa underdogs kuwa hawana chochote wala lolote.
Licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na Simba leo wamepata aibu/ majibu yao kuwa Yanga ni muziki mwingine na sio timu ya kubezwa.
Aliyewaangusha katika mchezo wa leo ni kipa Manula. Mpira unapigwa mita 30 kutoka golini lakini anashindwa kuuzuia.
Tafuteni kipa mrefu huyo mliye naye anawaangusha. Mtambue leo kuwa Yanga ni muziki mwingine sio kama mnavyofikiria.
Hongera sana kocha Charles Boniface Mkwasa Master.
huu uzi kwanza wangeshinda Simba asaivi ungekua 1000 reply >>>>>Nadhani hakuna, kulitakiwa kuwe na kitufe cha kurecord voice note tupige kelele haswa
Sent using Jamii Forums mobile app
-Offside ya Nchimbi wakati hakuwa offside
- Penati ya Simba SC wakati foul imefanyika nje ya 18.
Hili ni pambano kubwa nchini, na ni miongoni mwa mapambano matatu makubwa na yenye uhasama barani Afrika lakini bado waamuzi wanafanya maamuzi mabovu!
SOKA LA BONGO NA UBONGO WAKE!
Na yule baabu yenu alieogelea katika 18 ni halali kabisaBila ushabiki kwa VAR au marefa wenye viwango goli la pili la yanga ni offside
Simba na yanga wao ni ushindi tuMbona unatoka nje ya mada ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo sio shida, tatizo ni HIRIZI ya kagere ilionekana [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]Hapo ndipo Matola na Sven walipochemka kabisa, unaachaje kumuweka Fraga hata sub, je kama Mkude angeumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu ondoa huu upuuzi, hapo mpira upo wapi sasa?? Na bado upo chini au??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu uzi kwanza wangeshinda Simba asaivi ungekua 1000 reply >>>>>
Imewauma wachomoe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app