Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

eti uwekezaji wa bil20 kumbe kazi yao kubwa ni kununua mechi, bila kumhonga refa au kununua mechi hakuna ushindi, pumbafu zao........

IMG_1152.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
eti uwekezaji wa bil20 kumbe kazi yao kubwa ni kununua mechi, bila kumhonga refa au kununua mechi hakuna ushindi, pumbafu zao........

Wajitizame snaa SSC usajili wao unaweza usiwe na impact huko mbeleni

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yote kwa yote huyu kocha wa Simba hakuna..yaani yule mbrazil flaga hata kwenye benchi hakuwepo!?? Mkude hana kile kiwango tena cha kunusa hatari..!! Simba ilichemka sana kuweka siasa na kumuondoa Patrick. Huyu kocha wa sasa nimejaribu kupitia cv yake hana mahali popote alipofanya vizuri.

Hebu check record yake kabla hajaja Simba!!
IMG_20200104_210521_509.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kagere leo hakucheza au aliwekwa mfukoni mwa muhuni Yondani

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiumbe ana ushangiliaji wa kupandisha hasira wapinzani yule! Goli lenyewe lilikua ni la penati, lakini manjonjo yake sasa!

Ila nilifurahi sana alipo pumzishwa na kubakia kama pirton, yeye pamoja na yule mwenzake Deo Kanda pale goli zote ziliporudi.
 
Baada ya kuvuliwa hirizi yake hakugusa hata mpira mpaka wakamtoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikia mavi yalikuwa yanawasukuma yanagonga ile inaitwa comeback na mshukuruni refa mbumbumbu fc. Eti rage sijui maharage alijitapa yanga atakula 7 yule anaumwa yule, na bado
Vyura fc mnafurahisha Sana yani mmechomoa na mavi lakini mnashangilia Kama mmeshinda hongereni kwa ushindi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ushabiki maandazi, sasa hapo kocha kafanya nini? Ulitaka akamsadie Manula kuokoa pale golini

Haya matokea ya Zambia National Team, kupoteza michezo 2 na sare ugenini na kushinda mmoja nyumbani ni kitu cha kushangaza hapo, ulitaka ashinde yote anacheza peke yake uwanjani.. Patrick aliweza kushinda zote huko away, zaidi ya kuambulia kalamu za mabao!
Yote kwa yote huyu kocha wa Simba hakuna..yaani yule mbrazil flaga hata kwenye benchi hakuwepo!?? Mkude hana kile kiwango tena cha kunusa hatari..!! Simba ilichemka sana kuweka siasa na kumuondoa Patrick. Huyu kocha wa sasa nimejaribu kupitia cv yake hana mahali popote alipofanya vizuri.

Hebu check record yake kabla hajaja Simba!!View attachment 1312527

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchezaji wa simba ama yanga aharibu mechi zoote lkn asiharibu mechi ya simba na yanga,

Kuna kontena 6 za 40 feet hapa za kuifadhi matusi kwa manula zisha jaa matusi na bado hapajakucha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom