Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,950
eti uwekezaji wa bil20 kumbe kazi yao kubwa ni kununua mechi, bila kumhonga refa au kununua mechi hakuna ushindi, pumbafu zao........
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eti uwekezaji wa bil20 kumbe kazi yao kubwa ni kununua mechi, bila kumhonga refa au kununua mechi hakuna ushindi, pumbafu zao........
Ile hata bila VAR ni nje ya 18 sio penati pia goli la pili la yanga ni offside
eti uwekezaji wa bil20 kumbe kazi yao kubwa ni kununua mechi, bila kumhonga refa au kununua mechi hakuna ushindi, pumbafu zao........
Ongeza sauti dada
Baada ya kuvuliwa hirizi yake hakugusa hata mpira mpaka wakamtoaKiumbe ana ushangiliaji wa kupandisha hasira wapinzani yule! Goli lenyewe lilikua ni la penati, lakini manjonjo yake sasa!
Ila nilifurahi sana alipo pumzishwa na kubakia kama pirton, yeye pamoja na yule mwenzake Deo Kanda pale goli zote ziliporudi.
Hahaha wewe unanitafuta Si bure[emoji848]Tunashangilia tumecheza mpira kaka! Nyie mmecheza penalt bana!
Hahahaahahha
😂😂😂Barcelona ile ya Mbagala au?
Vyura fc mnafurahisha Sana yani mmechomoa na mavi lakini mnashangilia Kama mmeshinda hongereni kwa ushindi .
Yote kwa yote huyu kocha wa Simba hakuna..yaani yule mbrazil flaga hata kwenye benchi hakuwepo!?? Mkude hana kile kiwango tena cha kunusa hatari..!! Simba ilichemka sana kuweka siasa na kumuondoa Patrick. Huyu kocha wa sasa nimejaribu kupitia cv yake hana mahali popote alipofanya vizuri.
Hebu check record yake kabla hajaja Simba!!View attachment 1312527
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mara ya kwanza chura kamzuia simba asinywe maji kwa kelele zakeDah very sad chura kangangania nguvu iwe sawa!