Kariakoo haina umuhimu kwa uchumi wa nchi kama tunavyo aminishana Bongo lala

Naunga Mkono hoja, wangegoma mabibo, Ilala Boma, Manzese, Temeke stereo, Tandale, Rangi 3, Mahakama ya ndizi angalau na sisi wa mabonde kuinana tungepata stress maana masoko hayo ndiyo yameshikilia ustawi wa matumbo yetu.
Unaweza ukamaliza Mwaka mzima bila kuhitaji bidhaa kutoka kariakoo na maisha yakaenda vizuri kabisa.
Naishauri Serikali ikaze hapo hapo ili kukuza makusanyo ya ndani kwaajili ya kujenga Taifa.
 
Kwa nini Kariakoo haukutani na bidhaa yoyote iliyotengenezwa Tz?
Sasa kama badget yakilimo ni bl 10 na kati ya hizo bl 9 nikwajili ya mishahara na bl 1 ndo inaenda kwa wakulima unategemea matokeo Gani?? Watu wakiiponda serikali sio kwamba niwajinga wanaona wanaishi na wanaakili,,,,mkuu tumekwamishwa na uchawa usio na mipaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…