Kariakoo haina umuhimu kwa uchumi wa nchi kama tunavyo aminishana Bongo lala

Kariakoo haina umuhimu kwa uchumi wa nchi kama tunavyo aminishana Bongo lala

Kariakoo haihamisishi ukuaji wa viwanda vya ndani, Kariakoo ni Dumping site ambako asilimia 100 ya products zinazo uzwa pale ni Made in nje.

Ni wajinga pekee ndio wanaoweza kuamini kwamba soko lenye asilimia 100 ya bidhaa za nje ya nchi lina umuhimu sana kwa uchumi wa nchi kuliko, Kilimo, kuliko Madini, kuliko Uvuvi na kulilo utalii.

Kariakiakoo ni makao makuu ya kituo uapnde wa Tanzania cha kupromote products za nje hasa kupromote viwanda vya China na kupelekea China kutoa ajira zaidi kwa wachina.

Huwa nashangaa sana tunapo aminishwa kwamba kariakoo ndio roho ya uchumi wa nchi, yaani sehemu inayo promote viwanda vya China inaweza vipi kuwa roho ya uchumi wa nchi?

Kariakoo ni Dumping site ya products low qualities kutoka nje ya nchi.

Kama angalau asilimia 40 ya bidhaa za kariakoo ni made in Tanzania hapo kungekuwa na logic ila asilimia 100 then wajinga sisi tunaaminishwa kwamba pale ndio uchumi wa nchi ulipo?

Vipi huko wanako enda kuchukua bishaa?

Kariakoo ni kituo moja wapo cha kuua viwanda vya ndani.

Nchi inamalizwa na siasa za kijinga sana.
Nakuunga Mkono kwa 1000% wabongo wana Ujinga na Ushamba sana

Kariakoo ni yetu kwa eneo tu lakini vilivyopo vyote ni vya wenzetu, sasahivi kuna soko kubwa sana Bombay India kama yale ya China ya kusupply products ila sisi ni wa kuletewa tu na kutumia.

Hata vikiharibika hatuna viwanda vya kurepair achana na kuunda

Watu weusi ni jamii ya hovyo sana
 
Dunia nzima nchi zinapigana kuwa nchi za viwanda, na wanajua nguvu ta nchi yoyoe iko kwenye viwanda na si kuwa Dumping site.

Su bure meli za mizigo zinageuza tupu kurudi ziliko toka then tunashangilia, yaanu tunashangilia meli kubwa za mizigo kutua nanga kuleta products na kuondoka tupu?

Magari ya mizigo huwa yanarudi tupu Dar es salaam mengine yanaamua kubebana kwa sababu sisi ni Dumping site ya products za nje ya nchi.

Sijui SGR itabeba mizigo gani kupeleka Dar es salaam Bandarini
Mtu mweusi ni Mtu hovyo duniani, anajua tu kula, kulala na kuzaa
 
Mkuu watu wengi sana hawaijui Kariakoo kiundani jinsi mzungu wa hela na mapato ulivyo mkubwa, zaidi ya kupita na kuona watu wengi au kwenda kufanya shopping

Ukijua jinsi wa Congo Sudan Zambia, Birundi hadi Sudan nk wanavyokuja kufungasha mizigo kupeleka kwao utashangaa

Unaweza kuiita unavyopenda kwamba ni dumping area lakini huwezi kuondoa ukweli kwamba kuna watu wamelaza mabilioni ya mitaji yao pale, kuna mamilioni ya ajira na kuna mapato ya kodi makubwa sana kuliko mapato ya mikoa zaidi ya asilimia 80 ya mikoa ya Tz

Kuna sababu kwanini kariakoo ni mkoa maalum wa kikodi
Kuna sababu kwanini serikali imetolea macho kariakoo linapokuja swala la kodi kwa kuweka utitiri wa kodi

Shughuli za kiuchumi zinakwenda kwa kutumia fursa mkuu
Hakuna viwanda Tz wanatu wanatumia fursa hiyo kuagiza bidhaa nje

Sasa badala ya kuanza kuona kariakoo sio muhimu kwasababu tu wanadai wamezidishiwa kodi ni vyema basi serikali ikajikita kuhakikisha sera za viwanda vinaanzishwa ku cover bidhaa zinazo agizwa nje badala ya kuwapiga biti hawana umuhimu
Aliyeanzisha huu uzi alikuwa very clear kwenye mchango wake. Alijikita katika utekelezaji wa sera za nchi za kujenga uchumi wa viwanda kuliko UCHUUZI. Alianza hivi: QUOTE "Kariakoo haihamasishi ukuaji wa viwanda vya ndani...." UNQUOTE. Sasa ukichangia huu uzi bila kusoma post ya kwanza ya hoja iliyoanzisha uzi huu kuna uwezekano wa kupoteza maana au mantiki ya hoja yenyewe. Mimi namuunga mkono. Niliwahi kuchangia kwa mtiririko unaofanana na mchango wake kwenye uzi mwingine kuhusu soko jipya la Ubungo. Nchi yoyote isiyojikita katika kuhakikisha inajenga uchumi wa viwanda for VALUE ADDITION itaendelea kutembeza bakuli tu.
 
Mkuu dunia ya leo inaendeshwa na biashara huria na sio ku limit idadi ndogo ya watu kufanya biashara hiyo
Serikali inachopaswa kufanya ni kuweka vigezo vya aina ya bidhaa zinazotakiwa kuingizwa kama ubora nk na sio ku limit idadi ya waingizaji

Ndio maana nakwambia hii shida ya sukari ni kwa sababu vibali wamepewa watu wachache ambao wakiamua wanachezesha michezo yao kutengeneza uhaba na kupata faida maradufu

Angalia mitandao ya simu inavyotufanyia, badala ya kuwa washindani wao wanakaa vikao na kupanga bei sawa ambazo zinawapa faida wao
Mkuu nakubaliana na hoja yaako ,ila machawa wanasema hatuna viwanda ,that's nikaja na hoja iyo ,all in all nakuunga mkono
 
BASHE amefanya dili la B / 500 badala afukuzwe anapewa adhabu Mpina

Napendekeza bunge livunjwe na mawaziri wote wawe under house arrest na vyombo vya ulinzi wawahoji wapi wanapeka pesa vinginevyo ndugu Rais atakua anahusika .

Ndungu Rais fanyia kazi hoja hii ,machawa yanakusifia huku yanakula pesa za kuiba.
 
Wala hujakosea.
Na siku hiz Tz imekuwa soko la India kwa bajaji na bodaboda mpaka city Centre. Waliondoa zile Daladala vipanya na sasa mji umejaa bodaboda na bajaji tena zinatumia mafuta
 
Wewe unaiita Kariakoo dampo una akili kweli? Hivi unajua thamani ya mitaji ya biashara waliyoiweka watu pale?

Acha dharau mdogo wangu, pale pana mzunguko sana wa fedha na hata wateja kutoka nje ya nchi kama Congo huenda kununua bidhaa Kariakoo. Bidhaa zinatoka Kariakoo zinaenda mikoani

Mpaka Kariakoo iitwe mkoa wa kikodi unafikiri TRA walikurupuka
Nafikiri huhamuelewa hata kidogo rudia soma Uzi vizuri utamuelewa
 
Wala hujakosea.
Na siku hiz Tz imekuwa soko la India kwa bajaji na bodaboda mpaka city Centre. Waliondoa zile Daladala vipanya na sasa mji umejaa bodaboda na bajaji tena zinatumia mafuta
Na zinabeba nyama na samaki kwa ajili ya bucha!
 
Yaani soko linalotegemewa kwa uchumi wa nchi yetu halijusiani na kuuza bidhaa zilizotengenezwa kwetu?? Broooo hapana bhana
Tuanze sera ya kuanzisha Import Substitution Industrialization (ISI)

Tujenge viwanda vyetu tuanze uzalishaji

Then bidhaa zetu zikacompete na Mchina Kariakoo
 
Kariakoo haihamisishi ukuaji wa viwanda vya ndani, Kariakoo ni Dumping site ambako asilimia 100 ya products zinazo uzwa pale ni Made in nje.

Ni wajinga pekee ndio wanaoweza kuamini kwamba soko lenye asilimia 100 ya bidhaa za nje ya nchi lina umuhimu sana kwa uchumi wa nchi kuliko, Kilimo, kuliko Madini, kuliko Uvuvi na kulilo utalii.

Kariakiakoo ni makao makuu ya kituo uapnde wa Tanzania cha kupromote products za nje hasa kupromote viwanda vya China na kupelekea China kutoa ajira zaidi kwa wachina.

Huwa nashangaa sana tunapo aminishwa kwamba kariakoo ndio roho ya uchumi wa nchi, yaani sehemu inayo promote viwanda vya China inaweza vipi kuwa roho ya uchumi wa nchi?

Kariakoo ni Dumping site ya products low qualities kutoka nje ya nchi.

Kama angalau asilimia 40 ya bidhaa za kariakoo ni made in Tanzania hapo kungekuwa na logic ila asilimia 100 then wajinga sisi tunaaminishwa kwamba pale ndio uchumi wa nchi ulipo?

Vipi huko wanako enda kuchukua bishaa?

Kariakoo ni kituo moja wapo cha kuua viwanda vya ndani.

Nchi inamalizwa na siasa za kijinga sana.
Ukweli mchungu,kazi nyingi bongo za uchuuzi na sababu tuna booming population uchuuzi unalipa hasa uchuuzi usio rasmi. Dar wamachinga wengi na madalali na pia hawalipi kodi.
 
Na ndio hoja kuu ya mtoa Uzi kama umemsoma
Kwa hiyo kusema soko la Kariakoo halina umuhimu mimi ndio ninachopinga

Karikoo ni muhimu hata tuwe na viwanda vyetu vya ndani bado tutalihitaji soko la Kariakoo

Shida sio Kariakoo shida ni sera zetu mbovu katika uchumi wa viwanda
 
Kariakoo haihamisishi ukuaji wa viwanda vya ndani, Kariakoo ni Dumping site ambako asilimia 100 ya products zinazo uzwa pale ni Made in nje.

Ni wajinga pekee ndio wanaoweza kuamini kwamba soko lenye asilimia 100 ya bidhaa za nje ya nchi lina umuhimu sana kwa uchumi wa nchi kuliko, Kilimo, kuliko Madini, kuliko Uvuvi na kulilo utalii.

Kariakiakoo ni makao makuu ya kituo uapnde wa Tanzania cha kupromote products za nje hasa kupromote viwanda vya China na kupelekea China kutoa ajira zaidi kwa wachina.

Huwa nashangaa sana tunapo aminishwa kwamba kariakoo ndio roho ya uchumi wa nchi, yaani sehemu inayo promote viwanda vya China inaweza vipi kuwa roho ya uchumi wa nchi?

Kariakoo ni Dumping site ya products low qualities kutoka nje ya nchi.

Kama angalau asilimia 40 ya bidhaa za kariakoo ni made in Tanzania hapo kungekuwa na logic ila asilimia 100 then wajinga sisi tunaaminishwa kwamba pale ndio uchumi wa nchi ulipo?

Vipi huko wanako enda kuchukua bishaa?

Kariakoo ni kituo moja wapo cha kuua viwanda vya ndani.

Nchi inamalizwa na siasa za kijinga sana.
Umeandika point tupu ila wachache watakuelewa japo sipingi umuhimu wa Kariakoo kwenye uchimi wa nchi kutokana na wageni toka nchi za jirani kama Comoro,DRC, Malawi na Zambia ambao hutegemea ili soko ila sio roho ya uchumi wa nchi, yaani soko liwe roho ya uchumi kupita mkondo wote wa bahari toka panic ya Tanga hadi Mtwara? Au kupita uzalishaji wote unatokana na maziwa hasa Victoria na Tanganyika? Kama ndio hivyo basi huku kwenye mali hasili tunapigwa sana.
 
Kwa hiyo kusema soko la Kariakoo halina umuhimu linadumaza mimi ndio ninachopinga

Karikoo ni muhimu hata tuwe na vuwanda vyetu vyavndani bado tutalihitaji soko la Kariakoo

Shida sio Kariakoo shida ni sera zetu mbovu katika uchumi wa viwanda
Hoja ya mtoa Uzi nikwamba unaenda kariakoo ambapo ndo kama soko kuu la nchi hii lakini hukutani na bidhaa yoyote iliyotengenezwa tz,,,Sasa Hilo soko linakuza uchumi wa tz au china??
 
Hoja ya mtoa Uzi nikwamba unaenda kariakoo ambapo ndo kama soko kuu la nchi hii lakini hukutani na bidhaa yoyote iliyotengenezwa tz,,,Sasa Hilo soko linakuza uchumi wa tz au china??
Kwa nini Kariakoo haukutani na bidhaa yoyote iliyotengenezwa Tz?
 
Back
Top Bottom