kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Wala hilo halisumbui kama una mtaji coz style hiyo wanayopata mizigo wachina na wewe unaipata ni watu wabadili namna ya kufanya kazi tu mzee. Kenya hapo hiyo kitu ipo miaka. Na Ethiopia ndio usiseme. Unatakiwa udance accordinglyKariakoo inategemea zaidi wateja wa nje ya nchi sio ndani.FACT.
Ndio maana nina wasiwasi likifungukiwa lile soko la Ubungo ambalo ni wholesale wateja wa nje ya nchi watahamia pale maanake inasemekana kutakuwa na bei ya China, Kariakoo itaathirika.