fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
KARIAKOO NI GIANT WA KITOVU CHA BIASHARA ZOTE EAST AFRICA.
Usibeze uwinga,huenda ndo inaleta utulivu wa vijana ktk kuepuka vishawishi vya magenge ya uhalifu.
Watu wengi waliosoma na kuajiriwa wanaleta dharau sana Kwa ambao hawajaajiriwa.
Kkoo Kuna kila level ya elimi,Tena kwa Sasa degree na master zimejaaa sanaaaa,watu wanatafuta walau mkate wao mdogo na kujipoza na mawazo ya msoto wa madesa na kukosa ajira.
Wacha watu wapige uwinga

Hili ni tatizo kubwa sana.
Mimi binafsi nisha acha kununua bidhaa karikoo, Huwa naagiza moja kwa moja China ua UK au USA |