Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Hao ni washamba hawajui maana ya biashara ya nini mawinga leo hii ni maarufu kwa sababu tu ya technologia ila tokea zaman walikuwepo na huwezi wakwepaBro kila mtu ana namna yake ya kutoka so mi binafs ctegemei kuitwa muuza duka milele. Na hata huko madukan huwez kunikuta. Ila nachojaribu kukuambia hicho kitu kipo popote, mi nimekikuta kkoo miaka 25 nyuma na mi kwasasa cfanyi biashara mteja wa mwisho niko kwenye uzalishaji na agent's. Kikubwa life kila mtu ana mkondo wake
Mfano wafanyabiashara wengi wa kariakoo watu wanaowasiliana nao kule china ni middleman ambao ni kama mawinga yeye ndo anayekupa gharama yote ya bidhaa mfano glass anapoga anakuambia ni 350 mpaka inafika kariakoo na mnafanya taratibu nyingine
Sasa hao wanaokubishia ni waajiriwa wengi wao au wafanyabiashara ambao biashara zao wananunua hapa hapa hawawezi kukuelewa