Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Asante sana nitaenda weekendKwa pesa hiyo unapata shuka za kutosha na nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana nitaenda weekendKwa pesa hiyo unapata shuka za kutosha na nzuri
Where is ephen_ ?Wenyewe wanajiita mawinga wana tamaa hao ila ukienda kwa umakini unapata mzigo ukiwa mshamba jiandae kupigwa na mawinga teleza
Karume pamekua pa ovyo kinoma, unaweza kuzunguka soko zima na usipate chochote cha maana.Karume nimeenda kununua kiatu nikaambiwa 85000 nikashuka hadi 30 na bado nahisi nilipigwa
TajiiiiriiiUmasikin ni mbaya sana aisee. Nyie ndio mkiona mtu kanunua range rover mnamlaumu kwa kununua gari inayotumia mafuta. Mzee ukiona unanunua kitu kwa kubagain ujue hali yako ni mbaya pambana mkuu.
Poa poaAsante sana nitaenda weekend
Heshima yako bwana Winga.Huu uzi wako ni takataka.
Yupo JeshiniWhere is ephen_ ?
Wanakela kinoma, ukiingia sokoni tu hao washakufata. Mimi nikiona wananifata huwa nasimama nawageukia na sura ngumu kama undertaker halafu nawauliza vipi. hao wanakaa pembeni wenyewe.Ukosefu wa ajira ndo umeleta hawa inzi saiv nchi hii ukiwa na hela unashindwa kuenjoy kwa kununua vitu vizur kisa hawa inzi wanajiita mawinga hapo kariakoo mm nilitoka bila kununua chochote nikasema hebu nipite na hapo karume yaani balaa la soko la karume kipindi hiko kabla halijaungua lilikuwa mbada wa kariakoo na hao inzi hawakuwepo.Saiv karume kumejaa vibaka wanaosumbua watu, unakuwa unanunua huku unalinda mali mfukoni maana sio kwa hao nzi waliokuzunguka.Napo pia niliishia kushangaa nikapanda gari nikaondoka🤗.Mjini daslam kumevamiwa vijana wakimaliza chuo hawataki kurudi makwao. Goli moja mawinga 7 au 8 yaani ni viroja🥱
Alafu ni nani aliyewaambia kuwa mm nimetoka nyumbani nakuja mjini alafu ww inzi mmoja unajifanya tour guide( dalali). Nchi imechafuka madalali stendi, madalali masokoni kwenye nyumba na viwanja ndo balaa ni inzi everywhere🥴
Mafake ya kichina kibao hupati kitu Cha kijanja hata kimojaKarume pamekua pa ovyo kinoma, unaweza kuzunguka soko zima na usipate chochote cha maana.
Hao wateja wa nje mtawakimbiza kwa bei kubwa za mawinga.Mi niko kkoo huu ni mwaka 25 mkuu na kwasasa soko linaendeshwa na mawinga. Usipokubali mabadiliko ni kwamba umejiandalia kifo. Na kwa taarifa yako kkoo inategemea zaid wateja wa nje ya nchi sio ndani. So wewe endelea kuishi kwa kukariri maisha wakat wenzio wanavuka ukija kustuka uanze kuilaumu serikali. Maisha lazima ule na watu babu kama unataka kwenda mbali. Kama unataka kwenda karibu kula mwenyewe. Mi nawatumia winga tangu naanza biashara kkoo na wao wanakula na mimi natembea. Winga wananipa idea mipango na sote tunapata maisha yanaenda. We jifanye boss ubaki kuitwa mwenye duka milele. Ctaki huo upuuzi
Sure mkuu, mawinga watafute wateja uko mtaani na majumbani, sio mtu unaenda mwenyewe sokoni halafu unafatwa fatwa na kundi la watu kama vile hauna macho ya kuona bidhaa zinazouzwaMe nataka winga wako umlipe mshahara atafute wateja walioko majumbani
Yaani mtu kajileta dukani kwako kununua simu ambayo unauza labda laki 4 wewe unamweka mteja wako midomoni mwa winga wanampiga laki 7 Bado unaona ni raha
Wafanyabiashara wakimataifa watawahama wawe wanachukua mizigo miji mingine
Next time nitaangalia upande huo30 ungeenda sinza Mugabe pale kuna duka bei za mtanzania
Wafe tu.Hii itawaua na njaa mawinga
Karume ndio hapafai kabisa nliwahi kwenda kutafuta beg la laptop winga alianzia 120k nkanunua kwa 35k sababu ya uvumilivu ila wanakera sanaUpo sahihi. Karume mawinga wengi sana
Baadhi ya wenye maduka wawakatae mawinga au serikali iwakamate kwa makosa ya uzururaji.Hivi hamna namna ya kutokomeza mawinga?
Wenye maduka hawawezi kuwakataa maana ukiwafukuza wanapeleka wateja duka la pili, ila huu ni utaratibu mbovu sana,wangekuwa wanakamatwa na polisi tu kwa uzururajiBaadhi ya wenye maduka wawakatae mawinga au serikali iwakamate kwa makosa ya uzururaji.
Muongo!Mi niko kkoo huu ni mwaka 25 mkuu na kwasasa soko linaendeshwa na mawinga. Usipokubali mabadiliko ni kwamba umejiandalia kifo. Na kwa taarifa yako kkoo inategemea zaid wateja wa nje ya nchi sio ndani. So wewe endelea kuishi kwa kukariri maisha wakat wenzio wanavuka ukija kustuka uanze kuilaumu serikali. Maisha lazima ule na watu babu kama unataka kwenda mbali. Kama unataka kwenda karibu kula mwenyewe. Mi nawatumia winga tangu naanza biashara kkoo na wao wanakula na mimi natembea. Winga wananipa idea mipango na sote tunapata maisha yanaenda. We jifanye boss ubaki kuitwa mwenye duka milele. Ctaki huo upuuzi
Wew ukifika Mugabe kuna duka la jumla na rejareja , wengi wamenishukuru kuwaunga pale sema usitoe connection kwa Mawinga😅😅Next time nitaangalia upande huo