Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

Mpango mzima ni Maduka ya HOMECITY.
Na bado ile China ndogo pale Ubungo terminal ikikamilika wafanyabiashara makanjanja mtanyooka tu days are numbered.
Mawinga wajinga aisee watakuja na hapo na watapaharibu kabisa!

Si unakumbuka kkoo ya zamani?

Haya majinga ni kama mainzi ya chooni, yatakuja tu na mchina si unamjua alivyo, atawapokea tu
 
Usijisumbue kwenda kariakoo kununua mzigo ukidhani Kuna bei nafuu
Kariakoo wamejaa wajanja na madalali tu
Unaweza ingia kwenye duka ukamkuta mwenye duka ukamuuliza bei akakuelekeza uongee na vijana wake wakuumize
Nyie watu situka Kariakoo hakufai kabisa, mawinga wameharibu uaminifu
Matajiri wanauchukulia wateja kama wajinga, wanajua kuwa mtaenda tu
Sasa naomba niwape machimbo mapya Kwa Dar

1. Kwa wale wa electronics nenda Tegeta pale Kibo complex utapata bei ambayo Kariakoo haipo

Pia nenda Mbagala rangi Tatu utapata electronics zote, kuanzia Tv, simu, cable

2. Nguo nenda Mwenge au Makumbusho

3. Mitumba
Usijaribu kwenda Karume au Ilala tena
Kwa mitumba ya bei nafuu, mabalo za rejareja nenda Tandika, Temeke, Tandale na Mwenge

Kanda ya ziwa, machimbo yapo Katoro

Kwa machimbo mengine, tujaribu ku share.
Ila chonde chonde kariakoo utaishia kupandiliwa na kupigwa bei ya maana
Kariakoo nilikuwepo Jana, nikahairisha kuchukua mzigo kisa mawinga
Umasikin ni mbaya sana aisee. Nyie ndio mkiona mtu kanunua range rover mnamlaumu kwa kununua gari inayotumia mafuta. Mzee ukiona unanunua kitu kwa kubagain ujue hali yako ni mbaya pambana mkuu.
 
Usijisumbue kwenda kariakoo kununua mzigo ukidhani Kuna bei nafuu
Kariakoo wamejaa wajanja na madalali tu
Unaweza ingia kwenye duka ukamkuta mwenye duka ukamuuliza bei akakuelekeza uongee na vijana wake wakuumize
Nyie watu situka Kariakoo hakufai kabisa, mawinga wameharibu uaminifu
Matajiri wanauchukulia wateja kama wajinga, wanajua kuwa mtaenda tu
Sasa naomba niwape machimbo mapya Kwa Dar

1. Kwa wale wa electronics nenda Tegeta pale Kibo complex utapata bei ambayo Kariakoo haipo

Pia nenda Mbagala rangi Tatu utapata electronics zote, kuanzia Tv, simu, cable

2. Nguo nenda Mwenge au Makumbusho

3. Mitumba
Usijaribu kwenda Karume au Ilala tena
Kwa mitumba ya bei nafuu, mabalo za rejareja nenda Tandika, Temeke, Tandale na Mwenge

Kanda ya ziwa, machimbo yapo Katoro

Kwa machimbo mengine, tujaribu ku share.
Ila chonde chonde kariakoo utaishia kupandiliwa na kupigwa bei ya maana
Kariakoo nilikuwepo Jana, nikahairisha kuchukua mzigo kisa mawinga
Tungepata na no za simu ingekuwa bora.
 
Ukosefu wa ajira ndo umeleta hawa inzi saiv nchi hii ukiwa na hela unashindwa kuenjoy kwa kununua vitu vizur kisa hawa inzi wanajiita mawinga hapo kariakoo mm nilitoka bila kununua chochote nikasema hebu nipite na hapo karume yaani balaa la soko la karume kipindi hiko kabla halijaungua lilikuwa mbadala wa kariakoo na hao inzi hawakuwepo.Saiv karume kumejaa vibaka wanaosumbua watu, unakuwa unanunua huku unalinda mali mfukoni maana sio kwa hao nzi waliokuzunguka.Napo pia niliishia kushangaa nikapanda gari nikaondoka🤗.Mjini daslam kumevamiwa vijana wakimaliza chuo hawataki kurudi makwao. Goli moja mawinga 7 au 8 yaani ni viroja🥱

Alafu ni nani aliyewaambia kuwa mm nimetoka nyumbani nakuja mjini alafu ww inzi mmoja unajifanya tour guide( dalali). Nchi imechafuka madalali stendi, madalali masokoni kwenye nyumba na viwanja ndo balaa ni inzi everywhere🥴
 
Una sifa zote za kupokelewa na winga pale kariakoo.
Mi niko kkoo huu ni mwaka 25 mkuu na kwasasa soko linaendeshwa na mawinga. Usipokubali mabadiliko ni kwamba umejiandalia kifo. Na kwa taarifa yako kkoo inategemea zaid wateja wa nje ya nchi sio ndani. So wewe endelea kuishi kwa kukariri maisha wakat wenzio wanavuka ukija kustuka uanze kuilaumu serikali. Maisha lazima ule na watu babu kama unataka kwenda mbali. Kama unataka kwenda karibu kula mwenyewe. Mi nawatumia winga tangu naanza biashara kkoo na wao wanakula na mimi natembea. Winga wananipa idea mipango na sote tunapata maisha yanaenda. We jifanye boss ubaki kuitwa mwenye duka milele. Ctaki huo upuuzi
 
Me nataka winga wako umlipe mshahara atafute wateja walioko majumbani
Yaani mtu kajileta dukani kwako kununua simu ambayo unauza labda laki 4 wewe unamweka mteja wako midomoni mwa winga wanampiga laki 7 Bado unaona ni raha
Wafanyabiashara wakimataifa watawahama wawe wanachukua mizigo miji mingine
 
Back
Top Bottom