Babuu Wesaki Kilauwo
JF-Expert Member
- Jul 10, 2024
- 357
- 488
Utajua wewe.Very interesting. Ina maana wafanyabiashara halali wa Kariakoo ni mateka kwa mawinga?Hapa mpuuzi ni nani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajua wewe.Very interesting. Ina maana wafanyabiashara halali wa Kariakoo ni mateka kwa mawinga?Hapa mpuuzi ni nani.
Mtu wa kati anaweza akawepo ila Kwa staha kidogoBro hujui how things work. Biashara zote dunian zinafanyika online na wakat mwingine huwez kuwa na watu wote online so unakuta una mawinga kama 50 kila mtu ana wafuasi elfu 4 tuseme na wanakuja dukan kupiga picha kuposti so ndani ya nusu saa kila Winga anakuja huyu anataka pcs 30 huyu kumi huyu 20 na wanakuja kuchukua mizigo kupelekea wateja huko walipo so yeye anapata cha juu na wewe unapata chochote kitu. Ndivyo mfumo wa biashara ulivyo dunian lazima awepo mtu wa kati anaerahisisha kazi zako ziaende. Kwa mtu ambae amesafir anajua hasa viwandani. Biashara ni agent mzee. Na hiyo ya dukan kusubirishwa ni kawaida kkoo mi tangu naanza biashara vijana wanafanya hivyo miaka hiyo we umestuka leo na hata wagen wanajua. Kwa mfano mimi biashara yangu ni groups za whatsp za wateja wangu kutoka congo zambia Zimbabwe kenya malawi Rwanda Burundi comoro msumbiji nk. So mzigo ukitoka natoa sampo store narusha kwenye whatsp kila mtu anaweka order humo humo kutoka hizo nchi na wanaingiza mizigo kwenye account yako unawatumia mizigo yao. Simpo mzee life ishabadilika kaka. Mimi naweza kuuza mizigo nikiwa hukuhuku china ikawafuata wateja walipo na wakaniingizia mpunga wangu kwenye account tu. So usikariri maisha mzee pinduka maisha na yenyewe yanavyopinduka waache wenye kibarua cha kulaumu walaumu kila mtu apigane vita vyake. Ukiona umestuka ujue kuna mwingine ni mtaji, biashara ni mchezo wa sanaa kuna wakati unafungwa na kuna wakat unafunga.
Mchina huwa hapendi mawinga lakini hiyo yote vijana nao wanataka kupata chochoteMawinga wajinga aisee watakuja na hapo na watapaharibu kabisa!
Si unakumbuka kkoo ya zamani?
Haya majinga ni kama mainzi ya chooni, yatakuja tu na mchina si unamjua alivyo, atawapokea tu
Sijui kwa nini mnajidanganya na hako kasehemu kadogo kiasi hiko. Kariakoo Kuna Kila biashara ambazo zimesambaa hakuna sehemu inayoweza ku_match ukubwa wa Kariakoo. Cha msingi ni kutafuta taratibu na kutokuwa na papara. Mimi mwenyewe nanunua vitu vyangu Kariakoo na Kila baada ya muda nagundua duka zenye nafuu ambazo sikuzijua hapo mwanzo hapo hapo Kariakoo.Mpango mzima ni Maduka ya HOMECITY.
Na bado ile China ndogo pale Ubungo terminal ikikamilika wafanyabiashara makanjanja mtanyooka tu days are numbered.
Kwa nchi zilizoendelea ma winga wapo mitandaoni tuMtu wa kati anaweza akawepo ila Kwa staha kidogo
Sasa hapo Kariakoo
Unafika mteja unazongwa kama nzi kwenye mzoga
Hata ule utulivu na kuaminika kuwa wanaokuuzia ni halisi unapotea
Nyie wenye maduka wapangeni mawinga wenu, wasiwe kama wapiga debe stend
Ukitaka kwenda mbali lazima uwe fala kwenye mambo flan flan. Ni kama vile unavyotaka kuuza eneo unakuwa kwa muda mbele ya madalali mambo yako yaende. Usipojifunza kunyenyekea bro sahau kufika mbali nakuhakikishia utabakia tu kumiliki nyumba mbili tatu ukienda mbali utajenga hoteli au kumiliki apartment utajidanganya we ni tajiri. Mzee jifunze walipokosea waliokutangulia utafika mbali. Mi winga ndio wananipangia cha kuweka order kiwandani na mzigo ukifika fasta unaisha nataka nini sasa.Very interesting. Ina maana wafanyabiashara halali wa Kariakoo ni mateka kwa mawinga?Hapa mpuuzi ni nani.
Wengi wetu sisi WaTz ni mafukara tumetofautiana TU viwango vya ufukara wetu. Mimi nanunua kiatu mtumba, wewe utanunua gari mtumba Wakati nguo mtumba au kiatu mtumba hununui kamwe.Umasikin ni mbaya sana aisee. Nyie ndio mkiona mtu kanunua range rover mnamlaumu kwa kununua gari inayotumia mafuta. Mzee ukiona unanunua kitu kwa kubagain ujue hali yako ni mbaya pambana mkuu.
Ukitaka utulivu nenda mwenge ucje huku changanyiken mkuu. We hujafika pratunam Thailand wewe uone huo mziki au indra pradesh India pale. Ukitaka kutoka hapo chini ni kama kupigana jihad mzee huitaji utulivu zaid ya umakin tu.Mtu wa kati anaweza akawepo ila Kwa staha kidogo
Sasa hapo Kariakoo
Unafika mteja unazongwa kama nzi kwenye mzoga
Hata ule utulivu na kuaminika kuwa wanaokuuzia ni halisi unapotea
Nyie wenye maduka wapangeni mawinga wenu, wasiwe kama wapiga debe stend
Yeah!... muhimu usiogope ku-bargainKariakoo kila unaekutana nae usimuamini..
Hao wafanya biashara wenyewe hawana uhakika wa bei zao🤔
Unamuuliza bei ya bidhaa (mf. Kiatu) bei gani anakwambia 40k ukighairi ukitaka kuondoka utamsikia anashusha bei tena utaskia 'basi lipia 35k boss'😁
Ukirudi kuongea nae unachkua kwa 10k. 😂😂😂
mimi nikishasikia anamuita mtu naondoka sitaki ujinga shwaini mxiuuuUsijisumbue kwenda kariakoo kununua mzigo ukidhani Kuna bei nafuu
Kariakoo wamejaa wajanja na madalali tu
Unaweza ingia kwenye duka ukamkuta mwenye duka ukamuuliza bei akakuelekeza uongee na vijana wake wakuumize
Nyie watu situka Kariakoo hakufai kabisa, mawinga wameharibu uaminifu
Matajiri wanauchukulia wateja kama wajinga, wanajua kuwa mtaenda tu
Sasa naomba niwape machimbo mapya Kwa Dar
1. Kwa wale wa electronics nenda Tegeta pale Kibo complex utapata bei ambayo Kariakoo haipo
Pia nenda Mbagala rangi Tatu utapata electronics zote, kuanzia Tv, simu, cable
2. Nguo nenda Mwenge au Makumbusho
3. Mitumba
Usijaribu kwenda Karume au Ilala tena
Kwa mitumba ya bei nafuu, mabalo za rejareja nenda Tandika, Temeke, Tandale na Mwenge
Kanda ya ziwa, machimbo yapo Katoro
Kwa machimbo mengine, tujaribu ku share.
Ila chonde chonde kariakoo utaishia kupandiliwa na kupigwa bei ya maana
Kariakoo nilikuwepo Jana, nikahairisha kuchukua mzigo kisa mawinga
Hakuna soko litakaloiangusha kariakoo kwa miaka ya hivi karibuni.Mpango mzima ni Maduka ya HOMECITY.
Na bado ile China ndogo pale Ubungo terminal ikikamilika wafanyabiashara makanjanja mtanyooka tu days are numbered.
AsanteHiyo sijui
Ngoja waje wajuvi
Kimsingi sisi watz sio masikin mkuu. Ni hatujajua tu how things work na pia tuna ujamaa sana umetupumbaza. Wewe kama mshikaji unaweza ukawa huna kitu ukaja kwangu nikakutoa na ten nk. Hapo Dar life inaweza kukushinda ukarud kijijin mzee akakupa eneo ukalima life likaenda. Kwa wenzetu usipofanya kaz tena kwa nidhamu uchomoke imekula kwako. Hakuna wa kukupa hata mia na hakuna kijijin pa kwenda unabaki kuwa homeless mjin. Na ndio maana wageni wakija hapa wanatoka. Sisi hatuna tofauti na wale wazulu wa south Africa. Wao ni kucheza na kuimba hawataki kaz ni starehe tu ila ukija mgen ukifanikiwa hawataki. Sisi hatuna tofauti sana na waoWengine wetu sisi WaTz ni mafukara tumetofautiana TU viwango vya ufukara wetu. Mimi nanunua kiatu mtumba, wewe utanunua gari mtumba Wakati kiatu mtumba hununui.
Kuna siku nilikuta mashuka tandika bei kitonga,niliyakusanya kama yote,kufika home nilipomuambia Wife bei niliyonunulia,siku ya pili tulirudi wote kuyakusanya tena,tandika ipewe maua yake,kikubwa wangese mawinga wasiende kupaharibu,soko la ilala lilikua zuri sana kwa jeans za mtumba ila now ni ghari mno,jeans za bei rahisi ukiiotea kwa wale wanaotembeza mkononiUsijisumbue kwenda kariakoo kununua mzigo ukidhani Kuna bei nafuu
Kariakoo wamejaa wajanja na madalali tu
Unaweza ingia kwenye duka ukamkuta mwenye duka ukamuuliza bei akakuelekeza uongee na vijana wake wakuumize
Nyie watu situka Kariakoo hakufai kabisa, mawinga wameharibu uaminifu
Matajiri wanauchukulia wateja kama wajinga, wanajua kuwa mtaenda tu
Sasa naomba niwape machimbo mapya Kwa Dar
1. Kwa wale wa electronics nenda Tegeta pale Kibo complex utapata bei ambayo Kariakoo haipo
Pia nenda Mbagala rangi Tatu utapata electronics zote, kuanzia Tv, simu, cable
2. Nguo nenda Mwenge au Makumbusho
3. Mitumba
Usijaribu kwenda Karume au Ilala tena
Kwa mitumba ya bei nafuu, mabalo za rejareja nenda Tandika, Temeke, Tandale na Mwenge
Kanda ya ziwa, machimbo yapo Katoro
Kwa machimbo mengine, tujaribu ku share.
Ila chonde chonde kariakoo utaishia kupandiliwa na kupigwa bei ya maana
Kariakoo nilikuwepo Jana, nikahairisha kuchukua mzigo kisa mawinga