Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

Ukosefu wa ajira ndo umeleta hawa inzi saiv nchi hii ukiwa na hela unashindwa kuenjoy kwa kununua vitu vizur kisa hawa inzi wanajiita mawinga hapo kariakoo mm nilitoka bila kununua chochote nikasema hebu nipite na hapo karume yaani balaa la soko la karume kipindi hiko kabla halijaungua lilikuwa mbada wa kariakoo na hao inzi hawakuwepo.Saiv karume kumejaa vibaka wanaosumbua watu, unakuwa unanunua huku unalinda mali mfukoni maana sio kwa hao nzi waliokuzunguka.Napo pia niliishia kushangaa nikapanda gari nikaondoka🤗.Mjini daslam kumevamiwa vijana wakimaliza chuo hawataki kurudi makwao. Goli moja mawinga 7 au 8 yaani ni viroja🥱

Alafu ni nani aliyewaambia kuwa mm nimetoka nyumbani nakuja mjini alafu ww inzi mmoja unajifanya tour guide( dalali). Nchi imechafuka madalali stendi, madalali masokoni kwenye nyumba na viwanja ndo balaa ni inzi everywhere🥴
Inasikitisha sana,
 
Mi niko kkoo huu ni mwaka 25 mkuu na kwasasa soko linaendeshwa na mawinga. Usipokubali mabadiliko ni kwamba umejiandalia kifo. Na kwa taarifa yako kkoo inategemea zaid wateja wa nje ya nchi sio ndani. So wewe endelea kuishi kwa kukariri maisha wakat wenzio wanavuka ukija kustuka uanze kuilaumu serikali. Maisha lazima ule na watu babu kama unataka kwenda mbali. Kama unataka kwenda karibu kula mwenyewe. Mi nawatumia winga tangu naanza biashara kkoo na wao wanakula na mimi natembea. Winga wananipa idea mipango na sote tunapata maisha yanaenda. We jifanye boss ubaki kuitwa mwenye duka milele. Ctaki huo upuuzi
Mabadiliko ya Kariakoo kuongozwa na mawinga ni sawa na Mabadiliko ya panya road kuwa majambazi, upuuzi mtupu.
 
Nilishangaa bei ya vifaa vya jikoni kama jiko, fridge, oven nk mlimani city iko sawa na kariakoo, sasa si bora twende mlimani tu unapigwa kiyoyozi, hamna mawinga aka nzi wa chooni hakuna hofu ya kuibiwa wala harufu za vikwapa na midomo🙊
Sio kweli inategemea umekutana na nani ila nakuhakikishia kariakoo kuna bei za kutupa
 
Umasikin ni mbaya sana aisee. Nyie ndio mkiona mtu kanunua range rover mnamlaumu kwa kununua gari inayotumia mafuta. Mzee ukiona unanunua kitu kwa kubagain ujue hali yako ni mbaya pambana mkuu.
Nani kakwambia wewe, mbona una akili za ajabu, hakuna watu wana bargain kama matajiri, good deals unapata kwa kubargain, business is all about bargaining.
 
Ukitaka kwenda mbali lazima uwe fala kwenye mambo flan flan. Ni kama vile unavyotaka kuuza eneo unakuwa msenge kwa muda mbele ya madalali mambo yako yaende. Usipojifunza kunyenyekea bro sahau kufika mbali nakuhakikishia utabakia tu kumiliki nyumba mbili tatu ukienda mbali utajenga hoteli au kumiliki apartment utajidanganya we ni tajiri. Mzee jifunze walipokosea waliokutangulia utafika mbali. Mi winga ndio wananipangia cha kuweka order kiwandani na mzigo ukifika fasta unaisha nataka nini sasa. Kuitwa boss tajiri mwenye duka cjui mkuu hizo mambo ni upuuzi umetupumbaza wengi. We jichanganye nao nakuhakikishia utakula mema ya nchi. Mfano mdogo. Kuna winga mimi tulifikia mahali nikawafungulia maduka tunagawana kwenye faida baada ya mtaji wangu kurudi. Mzee the sky is your limit ni wewe tu.
Mawinga au madalali ni kitu hicho hicho. Mtandao huu umezaa ULANGUZI na muathirika ni mnunuzi wa mwisho.Kwa maana hiyo jamii yetu imeruhusu hawa wanyonyaji na kuwaenzi eti bila wao hutoboe. SAD
 
Nani kakwambia wewe, mbona una akili za ajabu, hakuna watu wana bargain kama matajiri, good deals unapata kwa kubargain, business is all about bargaining.
Kiatu kimoja unabargain hakuna tajir anafanya huo ujinga ukimuambia buku atakuambia nakupa 800 nipe vinne au ukienda duka lolote kubwa bei iko pale sio kubargain. Kama ni biashara ya kati mnabargain. Tajir gan ana muda wa kukaa chini nusu saa anaomba kupunguziwa huyo sio tajir jombaa. Ingekuwa biashara za uzalishaji au za kati sawa sio biashara ya mlaji wa mwisho unakuta mtu anakaa dakika 20 apunguziwe buku huku ananunua kiatu kimoja huyo sio tajir mzee. Tajiri ni muda hawanaga muda.
 
Nimekwambia wewe ni jitu jinga
 
Back
Top Bottom