adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
Kipindu pindu ndio kimemuua huyo jamaa sio Corona.Acheni uzushi kuokotwa mtu mmoja barabarani!! tayari mmeshakuja na matarumbeta kama yote ku praise kauli ya Melinda!! try to be reasonable bro! unapoteza.....
Hata uthibitisho wa kifo PMR ya huyo marehemu huna!!!?
those are not the qualities of a GT....
but midiocres....
Naomba Mungu bila unafki. Member moja wa family yako atembelewe Corona, ili uijue na kuiheshimu .Hiyo ni hofu tu
Hata kabla ya hapo Mtanzania alikuwa akikuta mtu kaanguka barabarani anakimbia kuogopa jinai
Daktari akitaka apandishwe cheo kwa mtu anayesumbuliwa na corona yeye aseme Haya ni mafua makali yanotibiwa na mitishamba!usiseme corona,sema kashindwa kupumua
Ukiomba kazi ya kuwatumikia watu kubali lawama.
Acheni uzushi kuokotwa mtu mmoja barabarani!! tayari mmeshakuja na matarumbeta kama yote ku praise kauli ya Melinda!! try to be reasonable bro! unapoteza.....
Hata uthibitisho wa kifo PMR ya huyo marehemu huna!!!?
those are not the qualities of a GT....
but midiocres....
Mke wa Bill Gates kasema ikifika Juni Kama serikali za afrika hazitachukua hatua madhubuti maiti zitakua zimezagaa mitaani.sasa hapa kwetu hata Mei haijafika tumeanza kuokota maiti mitaani he ikifika hiyo Juni si balaa.
Boss hata kama hajafa kwa corona lkn hizo ndo athari za huo ugonjwa. Ilikuwa vigumu mno kukuta maiti inakaa muda mrefu sehemu ya wazi halafu kwenye mkusanyiko wa watu kama inavyoonekana sasa.Acheni uzushi kuokotwa mtu mmoja barabarani!! tayari mmeshakuja na matarumbeta kama yote ku praise kauli ya Melinda!! try to be reasonable bro! unapoteza.....
Hata uthibitisho wa kifo PMR ya huyo marehemu huna!!!?
those are not the qualities of a GT....
but midiocres....
MmmhHatari kubwa kariakoo hiyo ni maiti, amekufa toka jana Kariakoo mpaka sasa hakuna msaada wowote ulio jitokeza kuondoa maiti hiyo aliyekufa kwa kushindwa kupumua hali sio shwari kiusalama wa afya kariakoo
View attachment 1432426
==
Punda fanyeni kazi mlipe kodi
View attachment 1432234
Hatari kubwa kariakoo hiyo ni maiti, amekufa toka jana Kariakoo mpaka sasa hakuna msaada wowote ulio jitokeza kuondoa maiti hiyo aliyekufa kwa kushindwa kupumua hali sio shwari kiusalama wa afya kariakoo
View attachment 1432426
==
Punda fanyeni kazi mlipe kodi
View attachment 1432234
[/QUOT
Naona hapo anatolewa sasa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aki nimechekaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]